netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 108
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Nakupa kazi ya kukomenti JF netti mimi uko ^teyari^!???Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Nasikiaga Pain killer & PainKiller huwa zinatuliza maumivu, sasa nyie mnaongeza mbona!??? Au hizi ni zile za kuleee kwa Xi Jin Ping!???"Bachelor degree of education" hakuna kozi ya namna hio hapa Tanzania
Mkuu hio sio koz kabisa ,inabidi mtoa maada ajatahidi kuandika vizur tangazo lake aeleweke ..Nasikiaga Pain killer & PainKiller huwa zinatuliza maumivu, sasa nyie mnaongeza mbona!??? Au hizi ni zile za kuleee kwa Xi Jin Ping!???
Na wewe peinikila mezeya mengine basi najuwa kwako hakuna kichungu au tu jatahidu kuandike vizuri shawa!??? Hivu ulivuandika wewe unawona yaanu ni chawa tyuuu, etu eeeh!??? Halafu nawe unajizai kumkochoa mwenjiyoo!???Mkuu hip sio koz kabisa ,inabidi mtoa maada ajatahidi kuandika vizur tangazo lake aeleweke ..
Nitafte nikuelekeze ila uwe maeneo ya MoshiHabar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Don't take it so seriouslyKwa namna ulivyoandika hapa hata ningekuwa mimi ndio boss sidhani kama ningekupatia kazi.
Vitu vya msingi tuwe tunachukulia serious,sasa hivi watu wengi wamesoma hili upate kazi lazima uwe na sifa za ziada,sasa kwa uandishi huu unaonekana msela tu wala degree yako sio kitu.
ndugu kumbuka unaomba kazi ofisini jaribu kuandika kama mwalimu wa degreeHabar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Eeeh ...aliyekuwa karibu amnyang'anye simuNa wewe peinikila mezeya mengine basi najuwa kwako hakuna kichungu au tu jatahidu kuandike vizuri shawa!??? Hivu ulivuandika wewe unawona yaanu ni chawa tyuuu, etu eeeh!??? Halafu nawe unajizai kumkochoa mwenjiyoo!???
Don't take it so seriously
Upo wapi, umesomea masomo gani? Ni kipi kingine Unaweza kufanya nje ya kufundishaHabar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Nipo dar nawez kufanya kazi yoyote ile .pia najua kutumia computer ..vilevile mimi nafundisha history na kiswahil naweza pia fundish civc na hata English ...ntashukur nikipata NafasUpo wapi, umesomea masomo gani? Ni kipi kingine Unaweza kufanya nje ya kufundisha
Hii ni hatari na nusuNipo dar nawez kufanya kazi yoyote ile .pia najua kutumia computer ..vilevile mimi nafundisha history na kiswahil naweza pia fundish civc na hata English ...ntashukur nikipata Nafas