Unajua netti mimi hata jina lake ameliandika kimasihara sana; badala ya kuandika seriously kama Aneth faison Mimson anakuwa sooo simplistic kama hesabu za calculus buaaana!??? 🙂Kama anaeomba nafasi yupo serious lazima apate ushauri serious.
Nipo dar nawez kufanya kazi yoyote ile .pia najua kutumia computer ..vilevile mimi nafundisha history na kiswahil naweza pia fundish civc na hata English ...ntashukur nikipata Nafas
Naomba nisaidie Kama kunamtu anahidaji mfanyakazi tafadhaliAndiki vizuri kisha ushauriwe au usaidiwe
Ninauzoefu katika kufundisha pia kweny suala la computer naweza kutumia kwa asilimia kubwa vilevile naweza Mambo ya sales and marketing...AsanteUnauzoefu gani? Unaweza kufanya kazi mazingira gani
Nafanya kazi mazingira yoteyote mjini mpk kijijini sichaguiUnauzoefu gani? Unaweza kufanya kazi mazingira gani
Tukauze chakula kariakooNafanya kazi mazingira yoteyote mjini mpk kijijini sichagui
Naenda Kama upo tayariTukauze chakula kariakoo