Natafuta kazi

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
108
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
 
Dada Netti mimi sikushushui ila nakushauri usiwe unaandika vifupi sana especially kwenye vitu muhimu kama hivi vya kutafuta kazi. Mwalimu wa Degree unapoandika j2 au cjachok unawapa tabu sana wenye nafasi wakitaka kukusaidia. Ushauri huu ni bure na unahiyari kuuchukua au kuuacha hapa hapa kwenye uzi huu.
 
Mkuu hip sio koz kabisa ,inabidi mtoa maada ajatahidi kuandika vizur tangazo lake aeleweke ..
Na wewe peinikila mezeya mengine basi najuwa kwako hakuna kichungu au tu jatahidu kuandike vizuri shawa!??? Hivu ulivuandika wewe unawona yaanu ni chawa tyuuu, etu eeeh!??? Halafu nawe unajizai kumkochoa mwenjiyoo!???
 
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Nitafte nikuelekeze ila uwe maeneo ya Moshi
 
Kwa namna ulivyoandika hapa hata ningekuwa mimi ndio boss sidhani kama ningekupatia kazi.

Vitu vya msingi tuwe tunachukulia serious,sasa hivi watu wengi wamesoma hili upate kazi lazima uwe na sifa za ziada,sasa kwa uandishi huu unaonekana msela tu wala degree yako sio kitu.
 
Don't take it so seriously
 
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
ndugu kumbuka unaomba kazi ofisini jaribu kuandika kama mwalimu wa degree:rolleyes::rolleyes:
 
Na wewe peinikila mezeya mengine basi najuwa kwako hakuna kichungu au tu jatahidu kuandike vizuri shawa!??? Hivu ulivuandika wewe unawona yaanu ni chawa tyuuu, etu eeeh!??? Halafu nawe unajizai kumkochoa mwenjiyoo!???
Eeeh ...aliyekuwa karibu amnyang'anye simu
tafadhaliiiiiii
 
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
Upo wapi, umesomea masomo gani? Ni kipi kingine Unaweza kufanya nje ya kufundisha
 
Nipo dar nawez kufanya kazi yoyote ile .pia najua kutumia computer ..vilevile mimi nafundisha history na kiswahil naweza pia fundish civc na hata English ...ntashukur nikipata Nafas
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom