Kim McDamon
Member
- Feb 23, 2019
- 46
- 9
Ni binti wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato cha nne najua kuongea English na kiswahili
Naishi dar es salaam
Natafuta Kazi
Natanguliza shukrani
Naishi dar es salaam
Natafuta Kazi
Natanguliza shukrani
Tayari mkuu
Kazi yeyote ya halali
Kama upo tayari kwa kazi za ndani na uangalizi wa nyumba nitumie namba yako pm.Ni binti wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato cha nne najua kuongea English na kiswahili
Naishi dar es salaam
Natafuta Kazi
Natanguliza shukrani