NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

GEM mama

Member
Jun 22, 2021
29
46
Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi.
Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA.
Asante
 
Unapenda kufanya nini maishani mwako?
 
Usitafute kazi ili mradi tu unataka kazi.
Tayari inaonyesha wewe siyo mwajiriwa mzuri.
Kwa hiyo Anza biashara ya urembo mdogo mdogo. Utafanikiwa.
Hakuna biashara isiyo na mtaji kiongozi (MTAJI KULINGANA NA ENEO) na biashara siyo kukurupuka ni mipango thabiti pia usichukulie poa maisha hatufanani wengine tunaanza from zero wakati wengine mnatengenezewa njia hivyo najua ninachohitaji na biashara nimefanya kwa kiasi mpaka kutafuta ajira ujue kuna mahali naelekea.
And nikwambie ukweli sio kila anaefanyakazi anafanya kwasababu ya passion yake anafanya ili aweze kusupport familia na watu wanaomtegemea the same kwangu natafuta ajira nisupport wanaonizunguka huku nikiendelea na mengineyo, biashara ya urembo ni kipato cha ziada kwangu.
Kwenye maisha hakuna kitu muhimu kama issurance ambao hawana job security/issurance nahisi watakua wamenielewa bt kama unategemea wazazi au unauhakika wa maisha huwezi nielewa kabisa.
SUCCESS IS TO START FROM THE SCRACH AND FOR ME HIYO POSITION I TAKE IT AS MY STARTING POINT TO REACH MY CURRIER AND PERSONAL GOALS AS WELL.
THANKS.
 
Usiwe na hasira, pia usipende kung'ang'ania kwamba lazima ufanye kazi ya kuajiriwa ili uishi.
Pia usikate tamaa.
Biashara siyo mtaji, biashara ni idea.
Ukishakua na idea, unakuwa na plan ya jinsi ya ku-execute hiyo idea. Na kama idea ni nzuri na ina plan nzuri, watu wapo wengi wanaotaka kuwekeza. ewe unafikiri watu wanataka hela zao zikae tu benki?
Au unafikiri watu kwanini wananunua hisa ingawa makampuni yenyewe hayatengenezi faida?
Sasa twende taratibu. Chukua hii challenge.
Wewe una idea ya biashara ya urembo? Na unaweza kutuwekea Plan hapa?
Ukiiweka plan ya biashara ya urembo hapa(usichukulie kijuujuu tu) mimi nitawekeza milioni tano (5 million).
Iweke hiyo idea na plan, ikiwa nzuri nitawekeza na wewe utaleta mrejesho hapa jamiiforums. Upo tayari?
Au kama vipi, good luck na kazi ya utendaji.
 
TRA WETLA NAFASI, TAKUKURU WAMETOA NAFASI SASA NENDA KAPAMBANE
 
Usiwe na hasira, pia usipende kung'ang'ania kwamba lazima ufanye kazi ya kuajiriwa ili uishi.
Pia usikate tamaa.
Biashara siyo mtaji, biashara ni idea.
Ukishakua na idea, unakuwa na plan ya jinsi ya ku-execute hiyo idea. Na kama idea ni nzuri na ina plan nzuri, watu wapo wengi wanaotaka kuwekeza. ewe unafikiri watu wanataka hela zao zikae tu benki?
Au unafikiri watu kwanini wananunua hisa ingawa makampuni yenyewe hayatengenezi faida?
Sasa twende taratibu. Chukua hii challenge.
Wewe una idea ya biashara ya urembo? Na unaweza kutuwekea Plan hapa?
Ukiiweka plan ya biashara ya urembo hapa(usichukulie kijuujuu tu) mimi nitawekeza milioni tano (5 million).
Iweke hiyo idea na plan, ikiwa nzuri nitawekeza na wewe utaleta mrejesho hapa jamiiforums. Upo tayari?
Au kama vipi, good luck na kazi ya utendaj
 
kama huchagui kazi...ebu njoo kwenye kampuni yetu ya gardaworld....hii ni kampuni ya ulinzi njoo ujishikize hapa kwa mwezi wanakulipa 250k na kuendelea...

unatakiwa uwe mrefu...nadhani ni kuanzia ft 5.64
tumia cheti chako cha kidato cha nne tu...!
uwe na cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha nida...na wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini phisicaly...

kama unavyo vigezo nilivyokutajia kwa dar es salaam ofisi zipo mikocheni ile njia inayoelekea kawe......ukiwa unatokea kinondoni, kupita makao makuu ya zantel....kuna kituo kinaitwa kwamwinyi....ukifika hqpo ukimuuliza mtu yeyote atakuelekeza ofisi za garda zilipo...ukifanikiwa njoo utoe mrejesho...kitakacho kubeba hapo ni vigezo tu hakuna rushwa wala hongo ya aina yoyote

Arusha​

Plot Number 11 Simeon Road Kijenge Area
GW - Arusha Branch
Arusha
Tanzania
+255 754 250 600
nakutakia heri na mafanikio rafiki yangu
 
thanks
 
Kwani nilazima wadhamini wawili ukimpata mmoja je ?! Hautapata job
 
Mkuu wewe upo ya mkoa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom