Natafuta kazi za ndani Kigamboni

Mary97

New Member
Dec 5, 2021
3
3
Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada).

Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto naweza.

Mshahara angalau laki, nauli juu yangu. Kama ulipo nauli inazidi 400/= utanisaidia nauli.

Siku za kazi j3 hadi jumamosi angalau j2 nibaki nyumbani mwanangu anione.

Mimi ni mchapakazi sio mvivu na ni msafi na ni muaminifu.

Kwa mawasiliano na maswali binafsi zaidi naomba nitumie ujumbe inbox.

Asanteni.
 
Luv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom