Natafuta kazi yoyote tu

Uko wapi mkuu? Unaweza kuja hapa Karibu na China Plaza Kuna kazi ya saidia fundi malipo 15k
Kama unaweza kufika hapa ndani ya lisaa nicheki +255624254690
Nipo Arusha mkuu
 
wewe mtu akija kwako kuomba kazi halafu aseme "nipe kazi yoyote ile" wewe unaweza kumuajiri?
Nitaelewa hali anayopitia then nitaampa options za kazi zilizopo ndani ya uwezo wangu achague. Ajira ni ngumu sana vijana wanapambana sana kupata michongo lakini mtaa hausomeki. Hizo njia ambazo mnafikiri ni proffesional au decent tayari washazifanya sana na hakuna matokeo. Kwaiyo wanapoomba msaada kwa hizi informal ways tuelewe frustrations walizo nazo na tuwasaidie pale tunapoweza
 
Kabisa kaka
 
Sawa sawa mkuu
 
Uko wapi mkuu? Unaweza kuja hapa Karibu na China Plaza Kuna kazi ya saidia fundi malipo 15k
Kama unaweza kufika hapa ndani ya lisaa nicheki +255624254690
Mikoani hutembei mkuu tupate kazi
 
unaweza pia kujiongeza...rudi moshi nenda pale Zara tour utapata kazi ya kupanda mlimani kama pota/mpagazi huku ukiangalia ramani nyingine.
 
Uko wapi mkuu? Unaweza kuja hapa Karibu na China Plaza Kuna kazi ya saidia fundi malipo 15k
Kama unaweza kufika hapa ndani ya lisaa nicheki +255624254690
Mkuu kesho ipo hii?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…