Natafuta kazi ya Upishi

okololo

Member
Feb 17, 2019
24
28
Habari za jioni,

Ninaitwa Samwel Mayala Mimi ni chef mwenye uzoefu wa miaka 18 kwenye hotel.

Ninapika vyakula aina mbalimbali ikiwemo Tanzania na nji za mataifa mbalimbali.

Pia ninapika kwenye shughuli kama vile harusi, kipaimara na ubatizo pia ukiwa na shughuli nyumbani unaniita nyumbani nakuja kukupikia
Lakini mbali ya hayo pia nafundisha kupika chakula aina mbalimbali.
Napatikana Dar.

Mawasiliano yangu ni 0657642225/0744054228

IMG-20230526-WA0000.jpg
 
View attachment 2703184
Nahene lulu guku wabheja noo.
 
Ninaitwa Samwel Mayala Mimi ni chef mwenye uzoefu wa miaka 18 kwenye hotel.

Ninapika vyakula aina mbalimbali ikiwemo Tanzania na nji za mataifa mbalimbali.

Pia ninapika kwenye shughuli kama vile harusi, kipaimara na ubatizo pia ukiwa na shughuli nyumbani unaniita nyumbani nakuja kukupikia
Lakini mbali ya hayo pia nafundisha kupika chakula aina mbalimbali.
Napatikana Dar.

Mawasiliano yangu ni 0657642225/0744054228
 
Mkuu kwa uzoefu wako unaweza pia jaribu hizi za nje

👇👇

KAZI ZA KWENYE CRUISE SHIP

ASSISTANT FOOD AND BEVERAGE MANAGER: https://shipjobs.carnival.com/job/miami/assistant-food-and-beverage-manager/29416/50667394320…

RESTAURANT OPERATIONS MANAGER:https://shipjobs.carnival.com/job/miami/restaurant-operations-manager/29416/46915873408…

SPECIALTY RESTAURANT MANAGER:https://shipjobs.carnival.com/job/miami/specialty-restaurant-manager/29416/48600923632…

JUNIOR SOUS CHEF - PASTRY https://shipjobs.carnival.com/job/miami/junior-sous-chef-pastry/29416/45626263056…

CHEF DE PARTIE - PATISSIER: https://shipjobs.carnival.com/job/miami/chef-de-partie-patissier/29416/45626263024
 
Asante
 
Mkuu huu mchongo uliompatia itakuwa bora zaidi aende chuo cha bahari Dar Es Salaam Maritime Institute(DMI) kusoma kozi za kibaharia (mandatory course).
Huwezi kufanya kazi ya upishi melini kama hauna vyeti hivyo (First Aid, Fire Fighting, Personal Survival Techniques, Personal Safety and Social Responsibility, Ship Security Awareness).
 
Ushauri mzuri hope ataufanyia kazi.
 
Kujua vizuri Ila siku hizi mahotel wanaangalia karatas, ungesoma hata short koz tu upate gamba.
 
Back
Top Bottom