Natafuta kazi ya usaidizi ndani 'House boy'. Nina ujuzi wa kupika mapishi mbalimbali

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,419
3,388
Mimi mwenzenu natafuta kazi za ndani najua kupika, Mimi mvulana Na nimetokea tanga,najua kupika misosi tofauti na sipendi kupika na mafuta napenda Nazi au nguju,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI PM utanifaa wew maana sijaoa so kwa kuwa unapika wali Nazi ondoa hofuu,ukizingatia unatoka tanga, karibu na Mombasa pale so utakuwa uko vizuriiiii, ombi lako limepokelewa.
 
NI PM utanifaa wew maana sijaoa so kwa kuwa unapika wali Nazi ondoa hofuu,ukizingatia unatoka tanga, karibu na Mombasa pale so utakuwa uko vizuriiiii, ombi lako limepokelewa.
Na tunaokula kimasihara tunaruhusiwa ku-comment ??

naomba kuwasilisha

na
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom