Natafuta kazi ya upishi Dar au Dodoma

Natafuta kazi ya upishi Dar au Dodoma

Shenazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
204
Reaction score
128
Wazima nahitaji kazi ya upishi wa vyakula katika ofisi, restaurants au sehemu yoyote, nafahamu kupika vyakula mbalimbali vya kila aina na vyenye ladha nzuri sana.

Naweza kufanya kazi Dar au Dodoma atakayenihitaji
0716 394882
 
Kuna mtu nampa namba yako anatafuta mtu wa hii aina ya kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom