Natafuta kazi ya upishi

Isma le ibuh

Member
Oct 4, 2017
36
12
Habar wana jf

Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa kigambon natafuta kazi ya upishi nina uzoefu wa mwaka mmoja nilikua nafanya kazi ilala hivyo kama kunamtu anatafuta mpishi labda wa kumpikia nyumban,mgahawan au kampun la kupika kwenye shughuri naomba asisite kunipigia pia ni mtaalam wa chips naweza kufanya kazi ya chipsi au grocery napatikana kigambon sim namba :0767959073 Au 0620134042 asanten sana
 
Haina shida kiongoz cjazungumzia swala la kuogopa ila nilikua naweka sawa kuhusu maelezo yngu mie popote pale mie nafanya kazi mkuu
 
Habar wana jf

Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa kigambon natafuta kazi ya upishi nina uzoefu wa mwaka mmoja nilikua nafanya kazi ilala hivyo kama kunamtu anatafuta mpishi labda wa kumpikia nyumban,mgahawan au kampun la kupika kwenye shughuri naomba asisite kunipigia pia ni mtaalam wa chips naweza kufanya kazi ya chipsi au grocery napatikana kigambon sim namba :0767959073 Au 0620134042 asanten sana
Ebu mtafute member mmoja mwenye anatumia I'd name madame @B aliwahi kutafuta mtu kama wewe kwaajili ya shughulizake maeneo ya kinondoni
Au pitia huu Uzi utampata na namba zake za simu ameweka hapo.
Msichana wa kusaidiana kazi ya upishi anahitajika
 
piga 0677766422 tegeta kibaoni na jiko na anatafuta mpishi fasta mcheki
 
Unaweza kuchoma nyama(nyama choma)??nahitaji kijana wa hivyo ajue na kutengeneza chips,(kama ulivyosema),..
nina dogo wa kiume hapa home, ni mtaalamu sana kwenye mambo ya kukaangiza (chipsi, nyama, kuku, wali, pilau etc)
mpe opportunity kama chance bado ipo/zipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom