Natafuta kazi ya ulinzi (security guard)

Natafuta kazi ya ulinzi (security guard)

ahaaa pole sana hii jf kun c i a wa bongo we jichanganye tu na ukija na id mpya tutajua na utahama mazima jf utakuwa unapita tu.....
Mimi binafsi natafuta kazi ya security guard na Nina sifa za kuimudu hiyo kazi but suala LA stationary anaitafuta Dada angu so usinione tapeli ndugu wala usipende kujipa cheo cha CIA mkuu nafikiri nimeeleweka
 
Acha kutuletea mambo ya kihuni bwana mdogo...
Mwanaume wewe.. Mwanamke wewe... 25 na 30 wewe....
Kinondoni wewe... Bunju wewe... Kila kitu wewe...
Hapa ungejaribu kutumia tu busara sio kuongea mbovu mbovu ...CV moja ya sister angu coz hana akaunt JF angekuwa nayo nafikiri angetafuta mwenyewe kwa kuipost humu CV nyingine ni yangu post Security guard
 
Jf bhana,,, mtu post yake inaeleweka kabisa.....ila watu wanatafuta makosa na jinsi ya kumkosoa! Hahahaaaaaa........
 
Nina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano

Email: maikonlatonga@gmail.com
nenda pale G4S SECUREX karibu na ubalozi wa ufaransa kila alamisi wanarecruit watu aisee
 
Nenda kk security shuka kwa mwinyi au nyerere mikocheni ukifika getini sema unataka kazi ya ulinzi utapewa vigezo na hawanaga longolongo
 
Nina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano

Email: maikonlatonga@gmail.com
nenda kk security shuka mikocheni kwa mwinyi au warioba jamaa wapo vizuri kimaslahi pia kama una vigezo hawanaga longolongo
 
Mimi binafsi natafuta kazi ya security guard na Nina sifa za kuimudu hiyo kazi but suala LA stationary anaitafuta Dada angu so usinione tapeli ndugu wala usipende kujipa cheo cha CIA mkuu nafikiri nimeeleweka
sawa kijana utapata unachotaka...
 
Kumlinda mke wako kwa kweli ni kazi nzuri ila ina changamoto nyingi sana pia kama ni mzuri mashaalah kwa kweli kazi itanishinda muda sio mrefu coz Mimi pia ni rijali mkuu

Samahani lakini
Umekosea kaka, hili swali hukutakiwa kujibu kabisa maana linaweza kukupunguzia marks kwa wengine wenye nia ya kukusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom