Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu wa kuendesha viongozi serikali kwa miaka 8

Tatizo si ukiingia kwenye system tu unapewa viongozi mpaka waone performance yako hekima busara na umakini katika utekelezaji wa majukumu yako so it takes time mkuu mpaka ukubalike

Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
 
Lakini yote ni mipango ya mungu wakati wa mungu ukifika wewe use hivi hata iweje itakuwa tu

Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
 
Tunahitaji DREVA wa Ambulance ya Kituo cha cha AFYA cha serikalini ebu chukua njoo pm
 
Natafuta kazi ya udereva nina LESENI daraja A ,C3, D,E na Nina uzoefu nimekuwa nikendesha viongozi serikalini zaidi ya miaka 8 bila kusababishavajali na nimekaimu ( TO) yani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 37 na madreva wake no mambo ya logic and transport management Niko tayar popote mda wowote 0715-0784-468700
Maskini! Umeondolewa kwenye utumishi kwa kigezo cha form 4 kumbe ww ni dereva mzur tu. Mkuu komaa utatoka tu nakuombea
 
Natafuta kazi ya udereva nina LESENI daraja A ,C3, D,E na Nina uzoefu nimekuwa nikendesha viongozi serikalini zaidi ya miaka 8 bila kusababishavajali na nimekaimu ( TO) yani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 37 na madreva wake no mambo ya logic and transport management Niko tayar popote mda wowote 0715-0784-468700
Ingia kwene webu ya TIB bank wamtangaza nafasi ya kazi Dereva
 
Mkataba uliishia na fursa zile hazipo tena so if you may just see so is the time for me to seek other means instead off kubweteka kwanini nisitafute msaada kwa wadau hayo ya magu unajua wewe nani out of our topic
Mjomba ulikuwa unahusika kusimamia mambo ya "Logic"?
Ndiio mambo gn hayooo....jaribu kurahisisha mamboooo....sio lzm kutumia kingerezaaaa.....ona unavyoandika vitu usivyovijuaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaiba jamani nyi ngojeni muda si mrefu mungu atajibu kwa kuwa haohao HOD's(head of departments)wanaumia saana kutoka kwangu kwa utendaji wangu ambao ni unique ndo kinga yangu wako bize kunitafutia alternative ili nipate namna sasa nyi fanyeni mzaha siku ntakuja tena hapa jf niseme kuwa tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya logistic and transport management (vehicles coordination)hususan mienendo mizima ya magari ,safari ,matengenezo(minor and major service ukaguzi wa ujazaji wa logbooks kwa madreva mafuta yanayotumika km oil,diesel,petrol nk hizo ndizo kazi nazimudu hata iwe manane ya usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufuatiliaji wa mitambo km machine ,mitambo, nk na hasa magari pikipiki kujua IPI inafaa kutumika wapi na gari gani inafaa kwa kazi au safari gani au machine gani inatakiwa matengenezo kwa wakati ili kuepusha uharibifu utakaopelekea gharama na kumshauri owner nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
●Kiukweli nimesikitika mlivyomshambulia sana bwana selemani yustus chitanda,vaa viatu vyake kwanza kisha ndio ujibu,kama hayajakukuta hauwezi kumuelewa.

●Wengi wanamkejeli kwamba ametumbuliwa kwa kuwa na cheti feki, kama kwenye uzi wake ajalizungumza hilo kwanini nyie mnaenda kwa hisia? Kama una dought na hilo kwanini usiende PM kumuuliza? Usikute akakupa jibu tofauti na hilo uliwazalo.

●Wengi humu kujifanya much know wakijua kwamba wao ni malaika na "majanga_free" pasipo kutambua maisha yanapanda na kushuka,Leo unamcheka bwana selemani kwa kuwa una Kazi/kipato kumbuka hata selemani miaka iliyopita alikuwa na Kazi.

●Kuna jukwaa za kutoa jokes/kejeli kule celebrity, chats etc lakini sio majukwaa ya Kazi, afya huku Watu wapo serious, ni hayo tu.

○Ni mtazamo tu masela msijenge chuki.○

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forum kuna vijitu vinajifanya vinajua sana kushambulia wenzao na kujiona wao wapo juu halafu unakuta vingi ni vijanafunzi vya chuo hata havijui vikitoka hapo vitashika mti gani, mxiiiiie sijawahi kukwazika humu ila kiukweli leo nimechukia mno mlivyomshambulia huyo kaka..... msaada wa kumpa huna si upite kimya kimya, mara umetumbuliwa mara elimu yako mara lugha hujui WTF... kuna lingine ni lizee kabisa lakini nimelivua vyeo hapa vyoooote no wonder hua anatukanwa.....

Bro Sele wala usijali nitakuangalizia nafasi kwa uzoefu wako wewe sio mtu wa kukosa kazi kabisa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Uzuri wakati Niko na wazungu ambao walipata kazi ya kufanya service ya transformers ktk substations nilipita mikoa yote ya Tanzania bars na wilaya zake ndo maana inakuwa rahisi kwangu kuwa transport officer(TO)na nimemufu kitengo hicho zaidi ya miaka mitatu na kdg hivyo wadau msaada wenu na ni kama unaguswa not by force

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufuatiliaji wa mitambo km machine ,mitambo, nk na hasa magari pikipiki kujua IPI inafaa kutumika wapi na gari gani inafaa kwa kazi au safari gani au machine gani inatakiwa matengenezo kwa wakati ili kuepusha uharibifu utakaopelekea gharama na kumshauri owner nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwajibu hao vilaza pesa ya kula yenyewe hawana wanajua kukopa vocha ili wamalize stress zao humu jamii forum....
umeshaweka contacts zako, wenye nia watakucheki, boss hua hapigi kelele hapa anafanya mambo kwa vitendo.

kuna mdau kakushauri kuhusu International leseni.... nje ya Bongo nyie mnatakiwa sana tena sana kama South Africa na nchi za kiarabu.
Good luck bro.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom