Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu wa kuendesha viongozi serikali kwa miaka 8

Jul 5, 2017
86
51
Natafuta kazi ya udereva nina LESENI daraja A ,C3, D,E na Nina uzoefu nimekuwa nikendesha viongozi serikalini zaidi ya miaka 8 bila kusababishavajali na nimekaimu ( TO) yani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 37 na madreva wake no mambo ya logic and transport management Niko tayar popote mda wowote 0715-0784-468700
 
What I know Nina uwezo wa kufanya kazi honestly na ninaweza kuendesha malori hata yenye crane kwa maana km kampun au taasisi na hata kama ambulance ndo hasa kwani Nina full ethics za uendeshaji ambulance viongozi nk na ambako nimefanyia ndo najivunia wao watanitangaza Mimi according to my unique performance
 
Elimu yako tafadhali...
Reality niliround about lakini nikajiendeleza sana kwa effort zangu mwenyewe baada ya my dady kupass away na uzuri MAISHA yangu nimefanya saana kazi ya udereva na outsiders( foreigners) nashukuru ndo mana nimekuwa tofautu saana na other driver popote nilipofanya kazi for further information just check with me threw 0715-0784-468700 Nina cheti cha VIP course nilipata na veta pia na working experience
 
Aiseeeeeee

kila la kheri mkuu maisha kupambana
 
Natafuta kazi ya udereva Nina LESENI daraja A ,C3, D,E na Nina uzoefu nimekuwa nikendesha viongozi serikalini zaidi ya miaka 8 bila kusababishavajali na nimekaimu ( TO) yani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 37 na madreva wake no mambo ya logic and transport management Niko tayar popote mda wowote 0715-0784-468700
Samahani.

Ulitumbuliwa?
 
Ndio yale mambo ya vyeti feki ehh. Serikalini watu hawaachagi kazi
 
Reality niliround about lakini nikajiendeleza sana kwa effort zangu mwenyewe baada ya my dady kupass away na uzuri MAISHA yangu nimefanya saana kazi ya udereva na outsiders( foreigners) nashukuru ndo mana nimekuwa tofautu saana na other driver popote nilipofanya kazi for further information just check with me threw 0715-0784-468700 Nina cheti cha VIP course nilipata na veta pia na working experience
Mh!
Nakushauri ungeandika au kujieleza kwa Kiswahili vizuri ungeeleweka na watu wangeitikia wito.
Umeandika kihuni sana ni kama unaomba kazi ya kuendesha vile vibaiskeli (miguu mitatu) vya kuuzia koni za Bakhresa.
Achilia mbali hapo kwenye nyekundu ulipoandika "Just check me THREW...badala ya THROUGH".
Halafu kichwa cha habari au taarifa kinasema "SEYUCHI"......WTF is Seyuchi!!!????
Kuwa makini kijana.
 
Anaonyesha uwezo wake wa lugha
 
Kama utaguswa contacts zipo hapo Hamna shida yanaongeleka at least umejua nahitaji nini kwa wadau na hata kama nitapata popote na yeyote nitakuja kusema hapa pia usipate shida saaana
 
Reality niliround about lakini nikajiendeleza sana kwa effort zangu mwenyewe baada ya my dady kupass away na uzuri MAISHA yangu nimefanya saana kazi ya udereva na outsiders( foreigners) nashukuru ndo mana nimekuwa tofautu saana na other driver popote nilipofanya kazi for further information just check with me threw 0715-0784-468700 Nina cheti cha VIP course nilipata na veta pia na working experience
ok sawa mkuu...kila la heri endelea kupambana
 
Natafuta kazi ya udereva nina LESENI daraja A ,C3, D,E na Nina uzoefu nimekuwa nikendesha viongozi serikalini zaidi ya miaka 8 bila kusababishavajali na nimekaimu ( TO) yani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 37 na madreva wake no mambo ya logic and transport management Niko tayar popote mda wowote 0715-0784-468700
imekuwaje ukaacha huko serikalini?au ulikuwa na vyeti feki?
 
Samahani. Ulitumbuliwa?

Haya maswali mnamuongezea stress tu jamani. Kakwambia alikuwa serikalini akiendesha viongozi wanaojua ''kusoma na kuandika tu'' ila kwa sasa watakuwa wamemuweka kando kwa kuwa tu hana cheti original cha form IV japo chenye points 28. Nadhani huku ndio kutumbuliwa kwenyewe japo hakuna press release kama ile ya Msigwa.
 
Back
Top Bottom