Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu wa kuendesha viongozi serikali kwa miaka 8

Natafuta kazi ya udereva nina LESENI daraja A ,C3, D,E na Nina uzoefu nimekuwa nikendesha viongozi serikalini zaidi ya miaka 8 bila kusababishavajali na nimekaimu ( TO) yani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 37 na madreva wake no mambo ya logic and transport management Niko tayar popote mda wowote 0715-0784-468700
Ndio nyie mliotumbuliwa serikalini Pole bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wadau mikoa ya kusini Lindi, mtwara, ruvuma ni ya pembezoni fursa hizi zimeanza miaka ya karibun hususani katika halmashauri zake hasa kwenye kada husika kutokana na mwamko wa elimu toka zamani ulikuwa ni shida kupata elimu.Nakumbuka Luna baadhi ya halmashauri zilianzishwa kwa kuwa gawa baadhi ya watumishi Fulani kwenda kuanzisha halmashauri hiyo kwa kuashika nyadhifa mbalimbali mf nimewahi kumuona MTU darasa la saba ni OS(office supervisor) kaja km afisa utumishi na kaajiri watu weeengi wasomi kulingana na mahitaji wakati huo.hususani kada ya udereva kutokana na mahitaji na haduma zinatakiwa ziwafikie wananchi unaambiwa njoo jitolee kwa mkataba wakati wanangoja vibali inafika hata miaka zaidi ya mitano na stahiki zoote unapewa km mtumiahi mwingine mf imprest ya safari perdiem nk ndo maana NIMEKAIMU MAMBO YA LOGISTICS AND MANAGEMENT TRANSPORT OFFICER(TO) na unajua km huku nilikuwa ziara za viongozi kila wakati Mara mwenge kiasinina uzoefu na nafasi hiyo na nili cover vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na uzuri nimefika mikoa mungu ya Tanzania na wilaya zake kama driver na nimeendesha viongozi wengi sema nilibweteka nikijua siku zoote nitakuwa hivi ila nilijiendeleza katika hizi English course hapa dar na muda mrefu nimefanya kazi na watu wa mataifa ya nje outsiders(Foreigners) kama DREVA kiasi uelewa kidogo wa lugha ya kiingereza ninao ndo mana nimekuja tena dar sasa ili nijiendeleze zaidi nipate elimu zaidi wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi kwa sasa nipate kazi then nitatenga muda rafiki wa Ku attend evening class ili nifikie lengo language lakini kazi inayohusiana na kusimamia kuendesha ndo hobby yangu kabisa na gari nazozimudu ni landrover new model puma L316 nk Toyota gx v8,hardtop, hyundai pickups,scania ,Volvo,Mercedes nk iwe automatic,manual sina shida na km ambulance nazo nazimudu saaana kwakuwa nimekaa nikiendesha kwa muda mrefu kiukweli nimepitia mengi karibuni kwa mahojiano Niko tayari karibuni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una cheti cha form 4 omba nafasi zimetolewa na sekretarieti ya ajira
 
1.png

2.png

3.png
 
Nope cant apply coz I dont have certificate huko nilikokifanyia ni kwa mkataba tu kila wangesema alowahi kufanya kazi serikalini na kwenye kuzungumza kiingereza ah ningeomba kwa uzoefu wangu huo wa miaka 8 maana maadili,itifaki,na utekalezaji wa majukumu naumudu vema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheb dharau kama huwez kumsaidia usicomment kila kitu try to be in his position ujinga wa mwafrca ni kumchukia mwafrica mwenzake
 
Acha umbeya wewe mbona sisi tulipata division 1 hatuna hata mafanikio ya jamaa inaelkea umepata elimu duni wewe
Sio kweli,Kama una maisha mabaya ni wewe.Nimemuuliza kwa nini ameacha sasa hivi anatafuta kazi tena?au amekutwa na paranja la magu?Kwa kuchambua sentensi yangu hiyo hivyo hukupata Division 1,wewe ni darasa la saba
 
Sio kweli,Kama una maisha mabaya ni wewe.Nimemuuliza kwa nini ameacha sasa hivi anatafuta kazi tena?au amekutwa na paranja la magu?Kwa kuchambua sentensi yangu hiyo hivyo hukupata Division 1,wewe ni darasa la saba

To inform you my dear currently i am taking my masters in procuremnt and logistic managemt second nimekaa mtaan kusaka ajira and i have learnt to respect people na wewe huna elimu yangu i beliave hata huyu jamaa huna elim yake wewe and kufaul sometimes is game of chance so avoid condemnation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom