Natafuta kazi ya ualimu wa medium schools primary

My brother teaching isn't a talent as you think and thinking so you will sink my btother
 
Kwa kufundisha o level inawezekana, mm nilipomaliza Six nilikuwa na uwezo wa kufundisha masomo manne ya sayansi maths inclusive
At what capacity? Huenda ulikuwa unafundisha tu bila kuwa na muda wa kufuatilia maendeleo ya wanafunzi wako. Kufundisha ni zaidi ya kuingia darasani. You need time to update/prepare yourself. Masomo 4 unapata wapi huo muda? Ndo maana vijana wakifika chuo hata kusolve vihesabu vidogo vidogo wavivu, wengine hawana kabisa skills za kujitafutia vitu vya kusoma. Stop that!!
 
Inabidi tz wabadilishe kabisa mfumo wa kumpata mwalimu, iwe kama USA ambapo mwalimu lazima uwe na teaching certificate ili uweze kufundisha na hiyo certificate inapatikana kwa kufanya mitihani na kama hauna master baadhi ya states certificate unairenew kila mwaka, hii fani inaonekana makanjanja wamejaa wengi sana hapa TZ.
 
Vilaza wengi wamejazana huko ingawa si wote ila inasikitisha sana. Mhimu waajiri waliangalie hili kwa macho...sidhani kama kuna ubaya kuwapa seminar kila baada ya miezi 6 namna bora ya kufundisha watoto.
 
Ungesema Bios,Chemistry,Physics na Hesabu ningekuelewa.Ila utoke kupiga shule ya glomerular filtration in the nephron uje uanze kuelezea Ngoni Migration

Umesoma combination gani High school?
Nikweli mkuuu ata kama anakipaji daaaar biology then history duuu hiyo advance ilikua comb gani labda alikosea kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaomba kama ww sio mwalimu acha kazalirisha kada hiiii mwalimu huwezi kuwa na masomo manne mkuuu profesional ya ualimu hapa nchin kwetu tunaanza na masomo mawili au moja na sio hayo unayo yataja bios,math,then history hii nn sasa Tanzania hatuna mwalimu wa namna hiii mkuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom