Natafuta kazi ya ualimu wa medium schools primary

Literature and Kiswahili English medium schools, au Olevel. Nipm Mkuu kwa mwenye uhitaji tufanye kazi. Degree from UDSM.
 
Ninaomba kama ww sio mwalimu acha kazalirisha kada hiiii mwalimu huwezi kuwa na masomo manne mkuuu profesional ya ualimu hapa nchin kwetu tunaanza na masomo mawili au moja na sio hayo unayo yataja bios,math,then history hii nn sasa Tanzania hatuna mwalimu wa namna hiii mkuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel anadharirisha Sana hiyo kada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom