Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
Habari za saa hizi ndugu zangu,
Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi.
Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript).
Masomo ya kufundishia: Kiingereza na Historia.
Niko tayari kufanya kazi hata masaa kumi na mbili kwa siku.
Niko tayari pia kufanya kazi hata nje ya mkoa.
Nitashkuru sana ombi langu litazingatiwa.