Natafuta sehemu ya kupiga kazi kama Dental Therapist

Am For Real

Senior Member
Nov 21, 2023
165
453
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari.

Kwa sasa Nipo Songea,Ruvuma(Ndyo nyumbani)
 
Duu. Ila utapata , before tulijua kada ya afya na ualimu ajira ya uhakika. Kama una moyo ukiingia jeshini direct tma unakuja kufanya kazi hospital za kijeshi Ila Kama una moyo Kama hauna komaa tu uraiani.
 
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari.

Kwa sasa Nipo Songea,Ruvuma(Ndyo nyumbani)

Njoo DSM humalizi wiki ushapata. Kikubwa uwe konki kwenye zile issue zenu za filling, root canal, kuweka braces, whitening etc.
 
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari.

Kwa sasa Nipo Songea,Ruvuma(Ndyo nyumbani)
Mbona mdogo wangu Alimaliza bulongwa mwaka jana na kaz alikuwa anapata hadi kuzikimbia???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom