Natafuta kazi ya stationery

JOYOUSS

New Member
Joined
Jan 2, 2026
Posts
4
Reaction score
5
Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo.

Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia mashine ya Heat Press Sublimation kuprint mugs, chupa, na T-shirts.

Naweza kutengeneza picha mbao na picha nyingine zozote, designing na Editing ya kazi mbalimbali

Nipo Dar es salaam, namba yangu ni 0754 578 551
 
Unaweza kuwa wakala wa simu za mikopo? Unaingia front mtaani, social media, midani n.k kusaka tonge. Unaweza?
 
Ulishapata kazi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…