Natafuta kazi ya sheli

Wengi hawaelewi maana ya shell kuwa ni jina la kampuni badala waseme kituo cha mafuta, eti wanasemaga shell, wakati Kuna total, Mt meru, peru, gapco, shell wanayosemea n.k
 
amekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
una POINT mkubwa lakini Point yako ulitakiwa uieleze
kiungwana TU jambo dogo hili umetumia jazba kuelezea
mwisho inakua ugomvi.

MTOA MADA ndie mwenye kosa
na kwasababu bongo tunaishi kwa mazoea basi
ndio maana umeona watu wanajibu AGIP mara MT


ILA KIUFUPI huyu mtoa mada anacho maanisha
anataka kazi katika kituo cha uuzaji mafuta .
 
Sawa ww mwenyedigiri unaejua makubwa ikiwa hujui kesho yako ukiwa utakufa leo .cjui mtoa roho atathamini kidigri chaako mbuzi ww.achazarau
 
Mt Meru niliskia wanaajiri. Ofisi zao zipo Tabata mwananchi kuna petro station yao.. muone mtu anaitwa Ally.

Mungu akutangulie ufanikiwe
YEye kasema Shell.
Au hujui tofauti ya shell, mt meru. Gapco etc?
 
Acha upotoshaji.

Usijione una akili nyingi sana
 
Wabongo kwa ujuaji,kama hujui ndo unapotezwa zaidi!! Mazoea ndo yanalazimishwa yawe ndo sahihi! Wote mko sahihi mazee mpeni ramani binti anatafuta kazi.
 
Hahaha wabongo mwisho
Mwenzenu anataka kazi sheli ajamaanisha mnavuomaanisha nyie yeye anataka kazi ya KUJAZA MAFUTA MAGARI SHELI SIO ANATAKA KAZI KAMPUNI YA SHELI SIJUI MMEELEWA?
 
amekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
Mt.meru wanauza na mafuta pia
 
We dada peleka maombi total wapo pale masaki mwisho, pili peleka kampuni ya Puma wanaajiri wenyewe hapo sheli we uliza anaesimamia sheli uonane nae akupe muongozo usiongee nao wajaza mafuta wanaweza wakakuvunja moyo tatu jarib sheli za camel kwanza utajitolea kisha utaajiriwa ila itachukua mda kiasi
 
🤣🤣🤣🤣🤣 msamehe bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…