catherinekundy
Member
- Jul 6, 2017
- 8
- 2
Habari zenu natafuta kazi ya receptionist katika hotel au kampuni yoyote na uzoefu wa mda mrefu katika hiyo nafasi kwa yoyote atayesikia animbie
Mungu akupe kwa kadiri ya haja ya moyo wakohabari zenu natafuta kazi ya receptionist katika hotel au campuni yoyote na uzoefu wa mda mrefu katika hiyo nafasi kwa yoyote atayesikia naomba anisaidie mana nazirika sasa
Hii kazi mbongo hawezi labda huku majuu trust me ..!Kuja home kila jumapili, unafua na kusafisha chumba... Sh ngapi utafanya iyo kazi...kama autojali
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Hizo ndio kazi za receptionist? TECNO C9 utamlipa nini mtoto wa watu?Kuja home kila jumapili, unafua na kusafisha chumba... Sh ngapi utafanya iyo kazi...kama autojali
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ko tecno ni shughuli kulipa mishahara mkuuHizo ndio kazi za receptionist? TECNO C9 utamlipa nini mtoto wa watu?
Waajiri serious wanatumia Nokia tochi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ko tecno ni shughuli kulipa mishahara mkuu
Sent from my IPhone 7 using using JamiiForums mobile app
inategemea ilanimaelewano tu kati yangu na muajiri hata ukisema kiwango kinaweza kisisaidieMshahara kuanzia sh ngapi utataka?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwanini asiweze, kuna watu wanafanya hizo kazi anakuja anafua anafanya usafi umamlipa.....Hii kazi mbongo hawezi labda huku majuu trust me ..!
sorry ningekua nahitaji hyo kazi yyte basi ningeandika nahitaji kazi yoyoteKwanini asiweze, kuna watu wanafanya hizo kazi anakuja anafua anafanya usafi umamlipa.....
sorry ningekua nahitaji hyo kazi yyte basi ningeandika nahitaji kazi yoyote
Hivi hujaona hata Jpm anatumia technoHizo ndio kazi za receptionist? TECNO C9 utamlipa nini mtoto wa watu?
Nokia ya tochiHivi hujaona hata Jpm anatumia techno
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Hivi hujaona hata Jpm anatumia technoHizo ndio kazi za receptionist? TECNO C9 utamlipa nini mtoto wa watu?
Habari zenu natafuta kazi ya receptionist katika hotel au kampuni yoyote na uzoefu wa mda mrefu katika hiyo nafasi kwa yoyote atayesikia naomba anisaidie mana naazirika sasa.