Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,670
- 167,722
Hata mie sijasema ukafue, nimemjibu aliesema wabongo hawafanyi hizo kazisorry ningekua nahitaji hyo kazi yyte basi ningeandika nahitaji kazi yoyote
Hata mie sijasema ukafue, nimemjibu aliesema wabongo hawafanyi hizo kazisorry ningekua nahitaji hyo kazi yyte basi ningeandika nahitaji kazi yoyote
Hata mie sijasema ukafue, nimemjibu aliesema wabongo hawafanyi hizo kazi
usijali mwaya sorry sikukupata vemaHata mie sijasema ukafue, nimemjibu aliesema wabongo hawafanyi hizo kazi
Tatizo wabongo mashauzi mengi sana yaani tunazidiwa na Wakenya na Wanigeria awachaguagi kazi.Kwanini asiweze, kuna watu wanafanya hizo kazi anakuja anafua anafanya usafi umamlipa.....
Hahahahaha Lazima mtu aumbuke siku hizi kwa hizi signature za simu.Hizo ndio kazi za receptionist? TECNO C9 utamlipa nini mtoto wa watu?
Hahaha Tena Tecno Y3+ MusicHivi hujaona hata Jpm anatumia techno
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Weka pichaHabari zenu natafuta kazi ya receptionist katika hotel au kampuni yoyote na uzoefu wa mda mrefu katika hiyo nafasi kwa yoyote atayesikia animbie
niko dar es salamaupo mkoa gani
niko dar es saalamniko dar es salama