Natafuta kazi ya nursing

TOA HIYO AVATAR KWANZA INASOMEKA KUWA UNATAFUTA MPENZI ............. TABIA IFE KIVIPI WAKATI NDO KWANZA MGENI UMEINGIA HUMU IJUMAA SAA HIZI UNASEMA USHATONGOZWA MWEE
Hujaijua Jf tu? Sio mgeni! Ila haimati.
wewe ni mwandishi gani wa habari ? hujasoma comm skills? hujui hata kutumia polite language.
unaomba kazi alafu unaleta mihemko ?
Ndugu yangu hivi hujui Tanzania ina Kiwango kikubwa cha Graduates wasiojua kuandika,kuwasiliana na Kujitambua?
Ndio wasomi wetu hao...
Sekta binafsi inashindwa kuajili watu ajili watu hawajitambui na hawajitumi
 
IPO ya mshaara 100000 kwa mwezi..offisi ya TIGO PESA
 
kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi yeyote ya halali ...., ila Nipo serious jamani matani sitaki
Sasa ww umeomba kazi yoyote ile na upo siriazi kabisa hutaki matani...
Kazi za ndani upo tayar kama ndio pm me!

Nikuungishe.
Ila tunazingatia dini sana na mafunzo utapewa...
Mimi nimekutafutia moja ya kazi yoyote uliyoomba ila ulichonijibu ni...
Hiyo siiwezi
Sasa ndugu angu kweli upo siriazi kweli?
Usibague kazi ndugu mm in litupa makaratasi nikaingia kwenye kazi ya hovyo sana ila nimeinuliwa mpaka sasa hv nasimamia biashara kadhaa za boss wangu huyu wa mwanzo nikihadithia hapa utashaangaa...
Ndio maana nimesema utapewa mafunzo ya Psychology and religion ujitambue .
Pole yako binti...

-Da'Vinci
 
Ahsant
 
Sitafuti mpenzi,natafuta kazi[emoji23]
Lakini avatar imekaa kutafuta mpenzi
Kwani ni lazima utoe Mawazo yako hapa au ndo bosho msiewww...half soma post uelew ndo uabdike upuuz wako [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji357] [emoji357] [emoji357] linakuhusu
 
Dada yangu hata spelling za uandishi ambao ndio lugha mama umekosea, umeandika uwandishi, sasa ukipewa hiyo kazi uliyosomea si utakosea lugha?
 
Uwandishi wa habar eeeh... kuandika tu hujui... wewe sema unatafuta danga tu vyuma vimekaza wadau watakuelewa binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…