Kwan dar wameshaazaHujaenda kwenye usahili wa Wasafi Tv?
Itakua bado basi subiri wakifika ukajaribu bahati yako Mungu atakusaidia, pia watu wanapokuomba picha zako usidharau wengine wanataka kuona muonekano wako mana kuna kazi nyingine zinazingatia muonekama kama duka la vipodozi na nyinginezoKwan dar wameshaaza
OkItakua bado basi subiri wakifika ukajaribu bahati yako Mungu atakusaidia, pia watu wanapokuomba picha zako usidharau wengine wanataka kuona muonekano wako mana kuna kazi nyingine zinazingatia muonekama kama duka la vipodozi na nyinginezo
AminKila la kheri kwako madam. Uhljaliwe haja ya Moyo wako
Mond hawezi gonga mchafu kama wewe, njoo kwangu tu nikugonge aseeeKwan dar wameshaaza
Huyo mwizi namfahamu halafu sio demuKwani Rahma umri wako we unapungua au?
![]()
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?
Ipo msaidizi wa nyumbani(dada)Habari, naitwa Rahma na nina miaka 22.
Naomba msaada kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi yeyote ya halali lakini iwe Dar es Aalaam. Nina diploma ya uwandishi wa habari.
Nikiwa nasubiri cheti changu sitaki kukaa bure kwa sababu najitegemea. Nipo serious jamani utani sihitaji
Namba yangu 0782342046, halafu kuna baadhi ya watu wana tabia sio nzuri, utakuta anakufuta PM au Whatsapp na kuaza kukwambia nitumie picha zako. Jaman hiyo tabia ife. Unajiona hauna uwezo wa kunisaidia ni bora utulie tu si kuaza kusumbuana
Angalizo tu, Sitafuti mpenzi natafuta kazi, halafu sio tangazo naloliweka ni langu wengine wananiomba niwasaidie tu lakini hili ni langu.
Ahsanteni
Akijibu unitag,naona anajibu zingine tu hii anaikwepa

Akijibu unitag,naona anajibu zingine tu hii anaikwepa![]()
![]()
![]()
Duh, AiseeWewe utakua tapeli kwa vyovyote vile...![]()
![]()