Natafuta kazi ya nursing

Wewe utakua tapeli kwa vyovyote vile...
fd48b10d1d7d791312070c870c270eaf.jpg
1f2f6cb81561cb9aed3443355882597c.jpg
umeua mzee baba
 
Hamjambo wote, kwa Mara nyingine narudi kwenu kuomba msaada kwa yeyote anaefahamu aniunganishe kazi ....ingawaje baadhi ya watu hawapo serious na hii topic, tafadhali jaman nisaidieni nipo tayari kutoa nusu mshahara wangu kumpa atakae nisaidia serious jamani....hata zile kazi za restaurant au migahawa mikubwa au kazi yeyte ile hata yakulipwa kwa kila siku nahitaji, no zang 0782342046 au 0713959740. Kingine jaman dharau, kejeli au coment za matusi sio nzuri....ni muhimu kutumia lugha nzuri, ahsanteni
 
Wazima, jaman narud tena kwenu kuomb msaada Wa kunisaidia kupata kazi yeyote ile no yang 0782342046, naishi magomeni na popote pale nafanya isipokua mkoani. Pia unaweza nipm....Ahsanteni
 
Kazi ipi kijana kuwa specific"""
Kazi yeyote, usafi mahofisini, dukani, kweny restaurant, cafe, site,yeyte ile isipokua bar, lkn Nina fani ya ya journalism nimemaliz ngazi ya diploma nimemaliza mwaka Jana hivy nasubir cheti....nayo hiyo ikipatikana itakua vizr zaidi
 
Hii inamfanyaje kuwa tapeli????
Mana sioni kosa apo
Kwanza hizo ni I'd 2 tofauti na thread 2 zenye maudhui tofauti lkn number ya simu 1. Hiyo peke yake inamfanya aonekane tapeli. Km tayari alikuwa member humu,na alishaitumia kutafuta mchumba,kuna haja gani kubadili I'd wakati wa kutafuta kazi!??
 
Kwanza hizo ni I'd 2 tofauti na thread 2 zenye maudhui tofauti lkn number ya simu 1. Hiyo peke yake inamfanya aonekane tapeli. Km tayari alikuwa member humu,na alishaitumia kutafuta mchumba,kuna haja gani kubadili I'd wakati wa kutafuta kazi!??
Sioni kosa apo
Maana mwenyewe nina ID mbili lakin moja nimeiabandon
 
Anatumia majina mawili tofauti
Rahma Mohamed anatafuta kazi
Husna Mohamedi anatafuta mme
NB:wote wanatumia namba moja ya simu
Kuna watu humu nawajua wanaid 5 na zaidi
Nyingine huwa ni kutunza privacy endapo mtu anakujua humu
 
Kuna siku alijifanya kua yeye ni nesi na anatafuta kazi ya criteria ya unesi, mara anakuja kusema yeye ni mwigizaji, mara yeye ni mwandishi wa habari, hapo hapo haitoshi anasema kua yeye ni mtu wa masuala ya usafirishaji!! Ndo mana nikasema kua huyu ni tapeliiiii sio bure!!
Apa umenena, ila kama ni kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom