Natafuta kazi ya nursing

Kuna watu humu nawajua wanaid 5 na zaidi
Nyingine huwa ni kutunza privacy endapo mtu anakujua humu
Yaani na wewe unajidai unaijua jf kuliko wengine!?? Huwezi kuwa na I'd 5 na ukazitumia hapa jf. Zitaunganishwa zote na utabaki na moja. Ukiwa na I'd 5 uhakikishe na vifaa unavyotumia kuingia navyo ni vitano. Huwezi kutumia computer au simu moja kuingia na hizo I'd zako. Siku hizi kwenye hii app mpya hata I'd 2 tu zinaunganishwa km unatumia kifaa kilekile.
 
Apa umenena, ila kama ni kweli
Wew sio kila ninachopost bas n mm labda nikwambie tupo mapacha mwezang kasomea nursing ....mm n journalism nimesomea, inamaan kam yeye cm yk gain uwezo n inasumbua nisimsaidie au. .ckia km ukihitj kumsaidia MTU ww msaidie n km hutk ACH kwan sikila MTU an roho km yko, msieweeeee
 
Asante mkuu kama umenielewa hapo, hawa watu ifike hatua wakose wa kumtapeli

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Kusoma hujui hata majina pia ujui kwakwl ni shida, half nimegundua weng wao humu wapo kwaajili y kumtengenezea MTU CV mbaya....wengne watu wazima humu nahis hata mm ni mwanao lkn wanaakili km ya mtoto yn wanachefua htr, unajitahid usijib lkn unkuta unajibu tu
 
Wewe utakua tapeli kwa vyovyote vile...
fd48b10d1d7d791312070c870c270eaf.jpg
1f2f6cb81561cb9aed3443355882597c.jpg
Nilimtapeli bwana yako sio
 
Anatumia majina mawili tofauti
Rahma Mohamed anatafuta kazi
Husna Mohamedi anatafuta mme
NB:wote wanatumia namba moja ya simu
MTU anaweza akawa n majina zaidi ya matatu n ruksa we mzee vipi, au ukichaa unakunyemelea wew,
 
Anatumia majina mawili tofauti
Rahma Mohamed anatafuta kazi
Husna Mohamedi anatafuta mme
NB:wote wanatumia namba moja ya simu
Ningeona vizr ungekuja kuthibitishia watu km MTU flani Jmn n tapeli nilishatapeliw tareh flani sehm flni....sio kuongea uwong wew, bora ungeuliz sio kumchfulia MTU nyani mweusi wew
 
Wewe ndio nyani mweusi unahangaika na utapeli humpati mtu boya wewe! Nimeshaweka ushahidi tayari so watu kazi kwao tu
Sibishani n MTU ambae ajielew maan nami nitaoneka chizi, kama vipi kausha bcoz ckujui unijui zaidi ya kuniona umu....mbwa wew
 
Wewe ndio nyani mweusi unahangaika na utapeli humpati mtu boya wewe! Nimeshaweka ushahidi tayari so watu kazi kwao tu
Labda nikwmbie kitu wat ambao wanajielew n kujitambua hunisaidia ila watu wenye kuombea wezao mabaya kama wewe mwenye roho ya kichawi huchafua watu tu saw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom