Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
Mmm basi dada umepata.
Apple huwa inaadvertize sime zake kwa nyuma.
Nimependa ulivyoiga strategy ya iphone.
Mmm basi dada umepata.
Uko wapi Esther na ulisoma kwa kiwango gani?Kivipi sijaelewa,,,mwisho wa comments how?
[emoji23]hapa ndio mwsho wa kukoment
[emoji134][emoji134][emoji2][emoji2][emoji2]hapa ndio mwsho wa kukoment
Lengo lako ni Kazi ndiyo ila ku-expose namba yako publically siyo jambo la Msingi sana.Sitaondoa kwa sababu lengo langu ni kazi sio kitu kingine,,,
Huyo si mimiMmm basi dada umepata.
Apple huwa inaadvertize sime zake kwa nyuma.
Nimependa ulivyoiga strategy ya iphone.
Haaaa Haaaa Haaaahapa ndio mwsho wa kukoment
namba hizo ni kuokota embe chini ya mzambarau, watu wana njaa nazoKivipi sijaelewa,,,mwisho wa comments how?
Mmmh!!Kazi inayotafutwa sio unesi hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unachanganya, ww ni nurse assisstant au Assistant nursing officer weka vizuri au hujui ulichosomeaNatafuta kazi ya muuguzi msaidizi nimehitimu mafunzo 2016/2/ naomba kwa yeyote atakaekua na uhitaji wa nurse assistant anisaidie
[emoji134][emoji134][emoji2][emoji2][emoji2]
Hata me nahisi,wameshindwa kupata ID kwa Mello sasa wanaweza kuzitafuta kwa style nyingine,ngoja tusubiri tuu tutasikia police wakamata kadhaa JF wako jela hakuna dhamana....!me yangu macho na masikio.Hujatumwa na Savimbi kweli kuwatega watu wewe Dada?
Msaidie wewe sasa hv lzm kuwa makini,Mello amegoma kuwapa ID sasa mtazipeleka wenyewe.....!Mwenye kuweza kumsaidi Esther amsaidie acheni kumsanifu dada wa watu, tatizo watu tunaweka utani na kejeli hata kwenye mambo ambayo ni serious! au ndie tuseme ashibaye hamjui mwenye njaa
Unapatikana wapi?Huyo si mimi