Natafuta kazi ya Nursing,,(Nurse Assistant)

Natafuta kazi ya Nursing,,(Nurse Assistant)

Natafuta mchumba awe mweupe awe mvumilivu wa maisha awe na umr kat ya 18_23 kama kuna aliekuwa tayar anitafute 0717971221au 0686903167
 
This is what happens when you post your problem on social network. Pole dada.
 
Mmh? Nilijua kuwa wana jf ni watu wenye huruma na mawazo ya kimaisha! Kweli mtu a naomba mmtafutie kazi ! Badala kusikitika ? Mnamdharau! Na kuuanza kumtaka kimapenzi!? Kweli? Pole saana Dada Esther! MUNGU atakufungulia njia pasipo na njia! (Kazi utapata) amini Ivo!
 
Masai ni watu wema sana,ubarikiwe mkuu.
 
Masai ni watu wema sana,ubarikiwe mkuu.
Kwa sasa ivi kazi ni ngumu saana! Watu wengi wamemaliza vyuo! Hakuna kazi !! Daah! Nawaonea huruma saana! Na mzazi kamaliza kujusomesha kazi kwako kutafuta kazi! Na hujui pa kuanzia! Inauma saana!
 
Mmh? Nilijua kuwa wana jf ni watu wenye huruma na mawazo ya kimaisha! Kweli mtu a naomba mmtafutie kazi ! Badala kusikitika ? Mnamdharau! Na kuuanza kumtaka kimapenzi!? Kweli? Pole saana Dada Esther! MUNGU atakufungulia njia pasipo na njia! (Kazi utapata) amini Ivo!
Wapi ametongozwa acha izo.
 
Usiogope !! Maana mungu hufanya njia pasipo na njia! Jiadhari na matapeli! Usikubali kutoa pesa wala penzi! Kuwa na msimamo! Na kumtanguliza MUNGU
Inaonekana wewe ni bigwa wa kutoa penzi ukiwa unatafuta kazi eee mbona mawazo yako yanawaza kugengedana na tu.
 
Hata me nahisi,wameshindwa kupata ID kwa Mello sasa wanaweza kuzitafuta kwa style nyingine,ngoja tusubiri tuu tutasikia police wakamata kadhaa JF wako jela hakuna dhamana....!me yangu macho na masikio.
Dumeshupa la Dar, saa zote unarudisha makalio nyuma
 
Back
Top Bottom