Natafuta kazi ya nursing degree private

Natafuta kazi ya nursing degree private

Kama kweli unamaanisha njoo Geita kuna zahanati inahitaji muuguzi

Ila ipo mbali kidogo na mji(kijijini), umeme upo(REA), nyumba ipo hapo hapo kazin, maji nk,

Mshahara na mengine nitafute inbox sidhani kama itakuwa vizuri kuuweka hapa, karibu
 
Naomba no please! Ata huko ntafika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama umeanzia diploma ndio ukaenda degree njoo pm, mbali na hapo... sitaki vilaza waliojaa kiburi
 
Back
Top Bottom