Kama hospitali yeyote ya private inahitaji nurse wa degree nipo napatikana kupitia hii no 0765782511
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka nikwambie nini?
kama unaweza kuwa dada wa kazi, karibu.
kama unaweza kuwa dada wa kazi, karibu.
Mbona nakujua mda sana,.
Najua! itoshe kusema wewe ni mwanamke, uwe na siku njema.
Kwaiy unanibadilish jinsiaNajua! itoshe kusema wewe ni mwanamke, uwe na siku njema.
Aisee! nachukua namba yako ''for future use;
Nurse mbishi huyu! Unapoomba kazi ficha baadhi ya vijitabia visivyopendeza. Au ndo nature ya manesi??
Jf mna maneno mwandiko wa bachela holder ukoje?Nina mashaka huu uandishi siyo wa degree holder
Sent using my infinix hot 6 pro
Ndugu yangu kuna utofauti mkubwa kati ya mwandiko na uandishi. Mimi nimezungumzia uandishi wa hilo bandiko hapo juu katika nyanja ya kujieleza.