Natafuta kazi ya maid kwa mara nyingine

Umemwelezea vizuri mno! Kipindi fulani niliwahi kuishi maeneo ya ILALA BOMA, Nilikua na mmama anayenifulia nikizidiwa na kazi nyingi kwakweli yule mama alikua anashida haswaa na alikua anaishi kule bondeni jangwani, nikaona nitafute namna ya kumsaidia nilimpa elfu 30, nikamwambia kanunue vitu alfajiri soko la wakulima ilala boma then uuze kwa watu mitaani tembeza kwenye beseni ile asubuhi kabla jua alijawa kali.Basi akafanya hivyo mama wa watu hivi navyokwambia amepanua biashara yake anauza kwenye meza na pia anatembeza asubuhi kwa wateja wake maalum.Last time niliwasiliana naye akanambia amehamia vingunguti ameweza kulipa hata kodi ya nyumba iliyokua shida kwake! aisee niishie hapa kupanga ni kuchagua waache watu wachague kazi.

Na mimi nije kukufulia na kukupikia unipe hela ya mtaji basi!
Nifikirie aisee, mtaani tunateseka mtumishi!
 
Tena umejuaje nna mtumba wa kufua kesho si kitoto we njoo tupatane ufue ila mtaji sikupi. Mwenzangu nawaboost wabeijing wenzangu waliozidiwa sana kimtindo na maisha....yaani kama huyo maza hata ingekua wewe ungemboost kama una huruma.Alafu nyie vijana pambaneni tu na hali zenu maana mnachagua kazi
 
Am sorry kama nitatoka nje ya mada.Kuna uzi wako uliuweka unataka kuuza matunda but the problem is capital.
Wazo lako haliko mbali sana na langu ila mi nataka Ku open sehemu ya kuzalisha juice not artificial.Capital ipo vipi tunaweza kuwa partner
 
Tena umejuaje nna mtumba wa kufua kesho si kitoto we njoo tupatane ufue ila mtaji sikupi. Mwenzangu nawaboost wabeijing wenzangu waliozidiwa sana kimtindo na maisha....yaani kama huyo maza hata ingekua wewe ungemboost kama una huruma.Alafu nyie vijana pambaneni tu na hali zenu maana mnachagua kazi

Nachaguaje kazi wakati nimeomba unipe dili la kukufulia hiyo mitumba ?
Huku ndiyo kupambana kwenyewe bwana. Wewe nipe dili hilo, ukionioa utanionea huruma kabisa!
 
Kama upo tayar kuja mbeya kazi ipo ya uhakika nimejenga nyumba yangu nameshindw kufanya usafi daily sijaoa kama uko serious pm namba yako
 
Mwanzoni nliiapata with attractive salary zaidi ya nliyotaja na ilikua nje ya tanzania lakini kukatokea vikwazo katika process za kwenda kazini.

Now nahitaji tena kazi niweze kuearn some money for my future plans.
kazi itakuwa ya kuja na kuondoka jioni. Nafanya usafi wa aina zote.

Hata kama kuna mtu anahitaji huduma ya usafi mara mojamoja napatikana!
niko dar

Nenda kwenye forum ya matangazo madogo kuna Watu wanatafuta house maid. Good luck!!
 
Watu wanawaza ngono tu,
lakini hili mbona huwa kawaida katika nchi zilizopiga hatua.

Unakuta hadi vijana wa kike na wakiume wanapanga apartment na kushare kulipa kila kitu,kodi,maji,umeme minus mapenzi.
Halafu urogwe sasa uguse kwa nguvu kama hujapata kesi ya kubaka,
wanashare apartment,asubuhi kila mtu na misele yake ,wanakutana jioni,wanakula,kucheck Tv na baadae kila mtu anazama chumba chake
Hii nimeikuta cape town mkuu, kuna washkaji wa kibongo wamepanga kama mtu 6 hivi wanaishi kwa style hiyo
 
Mwanzoni nliiapata with attractive salary zaidi ya nliyotaja na ilikua nje ya tanzania lakini kukatokea vikwazo katika process za kwenda kazini.

Now nahitaji tena kazi niweze kuearn some money for my future plans.
kazi itakuwa ya kuja na kuondoka jioni. Nafanya usafi wa aina zote.

Hata kama kuna mtu anahitaji huduma ya usafi mara mojamoja napatikana!
niko dar
You seem educated dada! hii kazi yako unaifanya kitaalamu? Is there a way I can help??? your english is good kwa kweli
 
Umemwelezea vizuri mno! Kipindi fulani niliwahi kuishi maeneo ya ILALA BOMA, Nilikua na mmama anayenifulia nikizidiwa na kazi nyingi kwakweli yule mama alikua anashida haswaa na alikua anaishi kule bondeni jangwani, nikaona nitafute namna ya kumsaidia nilimpa elfu 30, nikamwambia kanunue vitu alfajiri soko la wakulima ilala boma then uuze kwa watu mitaani tembeza kwenye beseni ile asubuhi kabla jua alijawa kali.Basi akafanya hivyo mama wa watu hivi navyokwambia amepanua biashara yake anauza kwenye meza na pia anatembeza asubuhi kwa wateja wake maalum.Last time niliwasiliana naye akanambia amehamia vingunguti ameweza kulipa hata kodi ya nyumba iliyokua shida kwake! aisee niishie hapa kupanga ni kuchagua waache watu wachague kazi.
ONLY GOD WILL PAY YOU.....

Back
Top Bottom