Natafuta kazi ya maid kwa mara nyingine

ningrfanya but hiyi ina watu wengi huku

Kungekuwa na 'dislike' button ningeclick on ur response.

Umejibu kwa namna ya 'No Thank you'... umejibu kwa namna ya 'kureject the offer'.

Me nadhani ungekubali such kind offer from charty , then ukasuggest what else bizna idea you can implement apart from the idea of mboga mboga, coz you never know how much capital angekupa.

However, sticking on idea ya mboga mboga... uwepo wa wengi wa wanayoifanya hukumzuii mtu mwingine to jump in. Waweza ingia na kuifanya bizna hiyo kwa ubunifu zaidi na ikakulipa. Mfano ukatafuta hotels ukawa unasupply, ama ukatafuta supermarkets ukasupply, n.k. Kwenye bizna ni ubunifu wako. Pia Mwenyezi Mungu ndiye hugawa riziki.

Leo hii hebu angalia hapo kitaa kwenu... kuna maduka mangapi, mbona wote wanauza? Road kuna madaladala mangapi... mbona wote wanapata abiria? etc. What I mean ni kwamba 'wingi wa doers' kwenye bizna fulani, is not a systematic DONT for other new joiners to crept in. Innovation matters a lot.

Otherwise, labda you are now strict to house-maid jobs only, from which ofkoz you can make some cash as well... plus extra benefits like lunch, etc.

Life has a lot of options though.

-Kaveli-
 
Hata mi nmeshangaa
 
Mwanzoni nliiapata with attractive salary zaidi ya nliyotaja na ilikua nje ya tanzania lakini kukatokea vikwazo katika process za kwenda kazini.

Now nahitaji tena kazi niweze kuearn some money for my future plans.
kazi itakuwa ya kuja na kuondoka jioni. Nafanya usafi wa aina zote.

Hata kama kuna mtu anahitaji huduma ya usafi mara mojamoja napatikana!
niko dar
ile biashara ya kufungua genge na kuuza matunda safi/juice ndo imekushinda mazima eti!
 
Good dada'ake. Una moyo safi. Ile kuwaza tu umuokoe mwanamke mwenzio ni jambo la kupongezwa.

-Kaveli-
Kweli kaka angu nimeona tangazo lake hii mara ya pili nikahisi ningeweza kumsaidia,naona ajawa na utayari wa hii kazi! angekubali ningempa mawazo ya kuifanya kisasa zaidi kama anaofia kudharaulika.Anyway namtakia kila lakheri apate kazi anayoitaka.
 
Kungekuwa na 'dislike' button ningeclick on ur response.

Umejibu kwa namna ya 'No Thank you'... umejibu kwa namna ya 'kureject the offer'.

Me nadhani ungekubali such kind offer from charty , then ukasuggest what else bizna idea you can implement apart from the idea of mboga mboga, coz you never know how much capital angekupa.

However, sticking on idea ya mboga mboga... uwepo wa wengi wa wanayoifanya hukumzuii mtu mwingine to jump in. Waweza ingia na kuifanya bizna hiyo kwa ubunifu zaidi na ikakulipa. Mfano ukatafuta hotels ukawa unasupply, ama ukatafuta supermarkets ukasupply, n.k. Kwenye bizna ni ubunifu wako. Pia Mwenyezi Mungu ndiye hugawa riziki.

Leo hii hebu angalia hapo kitaa kwenu... kuna maduka mangapi, mbona wote wanauza? Road kuna madaladala mangapi... mbona wote wanapata abiria? etc. What I mean ni kwamba 'wingi wa doers' kwenye bizna fulani, is not a systematic DONT for other new joiners to crept in. Innovation matters a lot.

Otherwise, labda you are now strict to house-maid jobs only, from which ofkoz you can make some cash as well... plus extra benefits like lunch, etc.

Life has a lot of options though.

-Kaveli-
Umemwelezea vizuri mno! Kipindi fulani niliwahi kuishi maeneo ya ILALA BOMA, Nilikua na mmama anayenifulia nikizidiwa na kazi nyingi kwakweli yule mama alikua anashida haswaa na alikua anaishi kule bondeni jangwani, nikaona nitafute namna ya kumsaidia nilimpa elfu 30, nikamwambia kanunue vitu alfajiri soko la wakulima ilala boma then uuze kwa watu mitaani tembeza kwenye beseni ile asubuhi kabla jua alijawa kali.Basi akafanya hivyo mama wa watu hivi navyokwambia amepanua biashara yake anauza kwenye meza na pia anatembeza asubuhi kwa wateja wake maalum.Last time niliwasiliana naye akanambia amehamia vingunguti ameweza kulipa hata kodi ya nyumba iliyokua shida kwake! aisee niishie hapa kupanga ni kuchagua waache watu wachague kazi.
 
huyo aggyjey ukiangalia hayuko serious
 
1. Kuna kampuni inafanya kaz hzo kama upo commited nikulink ufanye nao

2. Kuna kaz hyo but ni kufua, usafi wa ndani na kukaa na nyumba (unalala palepale) siku ambazo jamaa anakua kasafiri.

PM
 
asanteni kwa michango yenu wote.wenye uhitaji serious wamekuja pm.
hata kama una msaada njia ni pm tudiscuss.

usinijudge kwa maandishi yangu hapa without knowing uhalisia wangu.
 
Back
Top Bottom