Natafuta kazi ya maid kwa mara nyingine

dah..huyu magufuli ni hatari...yani kafanya mpaka mtoto mzuri ka huyu anatafuta kazi ya uhouse girl!
 
unawaza ngono tu kumbe
nafanya kaz kuanzia asubuhi.jioni naondoka
nina nguo zangu za kufua...kuna buku tano hapa inaniwasha,vipi upo tayari nikupe ramani ya kufika gheto kwangu uje unifulie?
 
Watu wanawaza ngono tu,
lakini hili mbona huwa kawaida katika nchi zilizopiga hatua.

Unakuta hadi vijana wa kike na wakiume wanapanga apartment na kushare kulipa kila kitu,kodi,maji,umeme minus mapenzi.
Halafu urogwe sasa uguse kwa nguvu kama hujapata kesi ya kubaka,
wanashare apartment,asubuhi kila mtu na misele yake ,wanakutana jioni,wanakula,kucheck Tv na baadae kila mtu anazama chumba chake
 
Back
Top Bottom