Natafuta kazi ya community development officer

Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Wana jf naomba msaada wenu natafuta kazi hasa ya serikalini kwa nafasi ya community development officer.mwenye kujua zaidi au ana hints za kazi hiyo naomba anisaidie.Nitashukuru sana
 
nilisoma certificate of community development Buhare musoma, Diploma in social work and social administration- Bugema university-Uganda na Bachelor of development studies palepale Bugema university-Uganda
 
Kuwa mpole na mvumilivu ila unaweza kuomba katika NGOs kwa muda huu ili siku ziende coz kwa mwaka huu Serikali haikuajiri watu katika halmashauri kwa hiyo kada yako maybe mwaka ujao wa fedha
 
sina hint yoyote ila nakutakia kila la heri. Ni masomo mazuri sana na insha'allah utapata tu ndugu yangu.
 
Nawashukuru sana wana jf kwa kunipa moyo na ushauri murua. Ngoja nijaribu kuomba kwenye NGO na baadae serikali ikitangaza nitaomba.
 
Usipopata kazi katika izo NGO's, jaribu kuwaomba upige intern , au upige volunteering.
CV itapendeza, na pia muda wako hautapotea bure. Japo HUTALIPWA.
 
Ila mkuu unalaza damu mbona kila siku humuhumu nafasi zinatoka huombi? usiogope kujaribu kuomba hata ukiona wanataka uwe na experience na mbwembwe nyingine just go for it and trust yourself
 
Kuna kazi za shirika la Save the children zimetoka jana ila wamezipost leo jf kama vipi omba coz kigezo ni degree, try ur luck mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom