Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

Jinsi ya kuapply naomba maelekezo mkuu
 
Bila shaka hata bodaboda hautaweza kila la kheri mkuu
 
Jinsi ya kuapply naomba maelekezo mkuu
kwa dar es salaam ofisi zao zinapatikana huko MIKOCHENI kwa MWINYI unaandika barua...ya maombi ikiambatana na nakala ya vyeti vyako, nakala ya kitambulisho cha nida, nakala ya TIN....nakala ya cheti cha kuzaliwa.
barua za wadhamini wawili.
barua yako ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
barua za utambulisho kwa wadhamini wako wote wawili kutoka serikali ya mitaaa wanayoishi.
vitambulisho vyao halali vilivyotolewa na serikali, iwe leseni, pass ya kusafiria au kitambulisho cha nida.

kabla hujafanya hayo niliyokueleza hakikisha kuwa wewe ni mrefu kwani kigezo cha urefu ni cha lazima kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…