Ama unapotosha au hujajua tofauti ya kujibu "sina clue" kwa swali la anuani na "sina clue" ya jinsi ya ku apply.
Nisichokijua hata chembe ni anuani ya kutuma maombi usalama wa taifa, hiyo haimaanishi kuwa sijui hata chembe namna ya kutuma maombi ya kazi usalama wa taifa. Big difference.
Nilikuwa nakusubiri ujibu hivyo.
Elewa tofauti kati ya kujua kupika pilau na kujua nini kinatumika kupika pilau. Kama hujui -tena awali ulisema "huna clue" - ni nini kinatumika kupika pilau, basi huwezi kusema unajua nini hakitumiki. Na kama hujui pilau inavyopikwa -tena "huna clue"- basi huwezi kujua haipikwi vipi. Mantiki inakataa.
Mfano wako umesaidia kuonyesha kwamba ulijichanganya. Uliposema "huna clue" kazi za usalama wa Taifa zinapatikana vipi, basi usinishauri chochote kuhusu jinsi ya kupata kazi usalama wa Taifa. Umesema "huna clue," hivyo usinipotoshe. Mwache Gembe aanjie kukamata usawa huko sehemu sehemu, akafanye mambo.
Umekosea tena. Unatumia vibaya, au hufahamu maana, ya neno anuani.
Umekosoa aliyeandika na kuleta JF nia yake ya kutafuta kazi Usalama. Maana yake amekosea pa kupeleka maandishi yake - anuani. Waungwana wakaona umeongea habari njema. Wakakuuliza, haya basi, anuani sahihi ni ipi? Ukasema "huna clue." Ukaulizwa, kama "huna clue" anuani sahihi ni ipi utajuaje isiyo sahihi? Ukajichanganya na mifano isiyotofautisha ufundi wa upishi wa pilau na ingredients zinazoenda kwenye pilau.
Ikaonekana majibu na kosoa zako 'zimechanganya viuongo.' Waungwana wakarudi na swali lile lile mara ya pili: Sasa anuani sahihi ya kutuma maandishi kwa Usalama wa Taifa ni ipi?
Wakuu wanasubiri jibu la pili. Tena lenye "mahesabu" yaliyotulia.

Una spin,
Maana ya anuani ni nini?
Una spin, Maana ya anuani ni nini?
I have been advised that my hole-poking of your logic is just too much. You have not taken exception to that protection. I want to respect those complains and leave you and your sermons alone.
Kama kawaida maneno mengi msaada hakuna, mkuu Gembe tuwasiliane mimi ninaweza kuku-hook up na wanaohusika, ninaamini kuwa uko srious na ujumbe wako kwenye PM nimeupata, nitakuwekea namba yangu ya simu tuwasiliane, usalama ni kazi tu kama zingine za taifa, tuache kuikuza sana, mkuu Gembe tuwasiliane, ninataka kuamini kuwa you are serious, kwa sababu I am alyways huwa sina utani hapa kwenyeb uwanja wa Taifa wa JF.
Ahsante Mkuu tunataka wananchi kama wewe!
Na lugalo kwenye nyumba za musuguri au? later mkuu saafi sana!