Mustapha komba
Member
- Aug 12, 2026
- 38
- 18
Vijana wenye nguvu ,akili , jitiada tusio chagua kazi mkoa wa Ruvuma , kila pande tunakwenda kufanya kazi kikubwa malipo tuu ivyo kazi yeyote hali tupo vijana wenye umri wa miaka 23 ivyo tunataka kutumikia jamii na taifa namba 0762472799
Email mustaphakomba2003@gmail.com
Email mustaphakomba2003@gmail.com