Natafuta Kazi nisaidieni

Habari za asubuhi ndugu zangu, Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha 4, natafuta Kazi kwa Mara nyingine Kazi ambazo naweza kufanya na ambazo Nina uzoefu nazo, ni:
Hotel
Duka la simu/spea n.k
Slot mashines
Sports betting.
Hizo ni baadhi ya Kazi ambazo naweza kufanya. Naomba Msaada wenu na Mungu awabariki, Asubuhi njema
Nenda Hyatt hotel pale kuna casino mpya imefunguliwa nimeona wanaajiri peleka CV yako hapo mkuu
 
Habari za asubuhi ndugu zangu, Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha 4, natafuta Kazi kwa Mara nyingine Kazi ambazo naweza kufanya na ambazo Nina uzoefu nazo, ni:
Hotel
Duka la simu/spea n.k
Slot mashines
Sports betting.
Hizo ni baadhi ya Kazi ambazo naweza kufanya. Naomba Msaada wenu na Mungu awabariki, Asubuhi njema
njoo meridian betting
 
Ndio mkuu nilikuwa apo Jana nikakuta wanaajili tena wanataka watu wenye experience wewe utakuwa na chance kubwa sana ya kupata jaribu na sportpesa pia peleka CV uache uoga kunawakati unatakiwa toka kwenye comfort zone yako
Sawa mkuu nashukuru, sports pesa iko wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom