Natafuta Kazi nisaidieni

Ok keep on, Time will tell!!
Mwanamke ni ndoa tu unavyoamini
japo najua ndoa ni lazima mana ni neno la Mungu
lakin kwa stail hio huez mpata mwanamke akakukubalia mwenye akili zake timamu. Yan unamuoa kwa sababu ana shida na unamkebehi unamuambia ajira yake ni ndoa tu halaf unamuambia akufate PM...ni mwanamke punguani ambae atafanya hivyo. Hahaha pole
kua mstaarabu kutafuta mke na kumuomba Mungu, na hili ni jukwaa la kazi, you want to find a wife , mna jukwaa lenu la love connect sijui .
 
Mkuu ndo maana mm nilimwambia ana laana watu kama Hawa wanakuwa wamelaaniwa
 
Nimeshawahi kusema tena kwamba kwa wadada mnaoomba kaz ni ngumu mkija huku mana wenye nia ya dhati ni wa kuwahesabu, wengi wao ni waroho wa ngono na wenye uchu na miili yenu na wanataka kutumia hio advantage ya kua mnatafuta kazi. Hamna kitu ni bora utafute namna nyingine ama uendelee tu kua na hope kwamba atatkea mwenye nia ya dhati, lakini kwa kwel.hapa ni ngumu.
Hiyo kweli imetokea wengi wako hivo humu mpaka nimeamua kuacha kutumia Jf kwa masuala ya kaz
 
MPENDWA POLE SANA.
AJIRA ZIPO NYINGI SANA SEMA KUNA WATU WANAFANYA KUPEANA AU NDO KAMA HAO WAHUNI WA KUOMBA 20000 AU UCHI WAKO NDO WAKUPE AJIRA.
ILA MTAFUTAJI HACHOKI NA AKICHOKA KESHAPATA.
MOLA AWE NAWE KATIKA KUBISHA HODI HUKU NA IPO SIKU MLANGO UTAFUNGULIWA.

UKIOATA KAZI KUMBUKA KUTULETEA MREJESHO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom