Ukiwa tayari kujitolea kufanya kazi bure kwa mda wa miezi mitatu halafu baada ya hapo utaanza kulipwa ni PM,nina project yangu nataka mtu mwaminifu wa kuisimamiaNatafuta kazi yoyote mm niko morogoro ninauwezo wa IT lkn niko tayari kufanya kazi yoyote No ya cm 0769322746
Hahahaha...nyie jamaa wa fursa za network marketing huwa hamchezi mbali sanaPole sana naomba unipigie kwenye namba 0683670160/ 0622670160/ 0762670160/ whatsap 0629114315 nikuelekeze namna ya kujiajiri mwenyewe kwa mtaji wa sh. 2000 tu kuliko kunyanyaswa na kurubuniwa mi nipo kibaigwa jina langu hilo hapo kwenye profile ni mjasiria mali nakushauri epuka kuajiriwa kazi isiyo na mkataba kwani kuna watu wataweza kukurubuni kupitia kazi . eti ohh njoo kuna kazi. Unadhani ukifika mwenyeji wako anakuwa nani? Je, ukikuta hana mke unalala kwa nani? Naye ndo mwenyeji wako? Chukua tahadhari
We tapeliUkiwa tayari kujitolea kufanya kazi bure kwa mda wa miezi mitatu halafu baada ya hapo utaanza kulipwa ni PM,nina project yangu nataka mtu mwaminifu wa kuisimamia
NB;utapangiwa nyumba ya umeme,utagharamiwa chakula na utakapoumwa maralia na magonjwa mengine ambayo sio makubwa utapata matibabu
Hivi mnadhani huyu mungu ni wa kwenu au? Mbona ham,ogopi hata jasho za watu eti miezi mitatu! Duhh! Hiyo Kali. Ebu njoo wewe nikupe kazi miezi miwili bure. Ndo nyie mnaoajiri watu kisha unamfukuza eti katia shoti kumbe gia ya kudhulumu ujira wake. Ndio maana nilimwonea huruma nimwelekeze ajiajiri mwenyewe
Duh...kwa hiyo magonjwa makubwa kama ngoma ajitegemee mwenyewe??!!..Ukiwa tayari kujitolea kufanya kazi bure kwa mda wa miezi mitatu halafu baada ya hapo utaanza kulipwa ni PM,nina project yangu nataka mtu mwaminifu wa kuisimamia
NB;utapangiwa nyumba ya umeme,utagharamiwa chakula na utakapoumwa maralia na magonjwa mengine ambayo sio makubwa utapata matibabu
Ndio maana yakeDuh...kwa hiyo magonjwa makubwa kama ngoma ajitegemee mwenyewe??!!..
Lima bustaniNatafuta kazi yoyote mm niko morogoro ninauwezo wa IT lkn niko tayari kufanya kazi yoyote No ya cm 0769322746
Mkuu ach utapeli buku mbili seriously.Pole sana naomba unipigie kwenye namba 0683670160/ 0622670160/ 0762670160/ whatsap 0629114315 nikuelekeze namna ya kujiajiri mwenyewe kwa mtaji wa sh. 2000 tu kuliko kunyanyaswa na kurubuniwa mi nipo kibaigwa jina langu hilo hapo kwenye profile ni mjasiria mali nakushauri epuka kuajiriwa kazi isiyo na mkataba kwani kuna watu wataweza kukurubuni kupitia kazi . eti ohh njoo kuna kazi. Unadhani ukifika mwenyeji wako anakuwa nani? Je, ukikuta hana mke unalala kwa nani? Naye ndo mwenyeji wako? Chukua tahadhari
We, mpuuzi kweli unafikiria kuibiwa tu. Nimeshamwelekeza na amejiajiriMkuu ach utapeli buku mbili seriously.
Jamani ndg mm natafuta kazi yoyote niko morogoro ingawa mm nimtaharamu wa IT lkn naweza kufanya kazi yoyote ili niweze kujiikimu no yangu 0769322746 name 0621081842 niko morogoro
IT ambayo kicharazio tu kimekulendemsha utaijua vip disk mtepevu.[emoji32]Jamani ndg mm natafuta kazi yoyote niko morogoro ingawa mm nimtaharamu wa IT lkn naweza kufanya kazi yoyote ili niweze kujiikimu no yangu 0769322746 name 0621081842 niko morogoro
Wawezatengeneza database tufanyekazi?Jamani ndg mm natafuta kazi yoyote niko morogoro ingawa mm nimtaharamu wa IT lkn naweza kufanya kazi yoyote ili niweze kujiikimu no yangu 0769322746 name 0621081842 niko morogoro