Habari zenu wanajf samahani natafuta kazi yoyote.Naomba mwenye kazi anisaidie ili niweze kujikimu mahitaji yangu elimu yangu ni kidato cha nne na nimesomea kompyuta
Dogo, ziko kazi nyingi tu, na nyingi wala si za kutafuta, bali za kufanya. Hujasoma thread ya maisha ya Waitara humu JF? Jiongeze kidogo, kazi si lazima kuajiriwa...
Ebu fafanua kidgo una ujuzi wa computer vs hiyo IT, hapo kwenye IT unajua nin mana IT is very wide. Fafanua vizuri nkupe kaz huko huko moro japo mim niko dar
Ebu fafanua kidgo una ujuzi wa computer vs hiyo IT, hapo kwenye IT unajua nin mana IT is very wide. Fafanua vizuri nkupe kaz huko huko moro japo mim niko dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.