Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Dec 19, 2021
663
910
Habari zenu wana JF,

Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee.

Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha DIT. Kama tujuavyo diploma program inaanza mwezi wa kumi.

Natafuta kazi ambapo nitapata chochote kitu ili nisikae mtaani muda wote huu. Sina mtaji wowote ule ndio maana nategemea mkono wa mtu kunipa tender.

Umri ni miaka 17 na ninaishi Dar es salaam, Msasani.

Natanguliza shukrani.
 
Ninaweza kufanya kazi yoyote, mifano; kufanya usafi katika migahawa, maofisini au kumbi za harusi.Kukaanga chipsi (sina uzoefu ila nipo vizuri katika kuzoea mazingira ya kazi. Kila kitu kitaenda sawa ndani ya muda mfupi, naahidi), kutengeneza sharubati n.k Mshahara hata wa 150k kwa mwezi ni sawa tu.
 
Ninaweza kufanya kazi yoyote,mifano; kufanya usafi katika migahawa,maofisini au kumbi za harusi.Kukaanga chipsi (sina uzoefu ila nipo vizuri katika kuzoea mazingira ya kazi.Kila kitu kitaenda sawa ndani ya muda mfupi,naahidi),kutengeneza sharubati n.k Mshahara hata wa 150k kwa mwezi ni sawa tu.
Kazi nyingi mjini hapa ni malipo ya commission kijana, upo tayari?
 
Kijana umenifurahisha kwamba unatafuta kazi punde tu baada ya matokeo kutoka na daraja lako la kwanza la point 7, hiyo ni nzuri itakupa mwanga zaidi wa kujua namna ambavyo ufaulu wako mzuri zaidi haukupi guarantee ya kupata kazi nzuri kwa nyakati hizi.

Vilevile itakusaidia ukifika chuoni kujiongeza zaidi kwa kutafuta fursa na social network zaidi ambayo inaweza kukusaidia siku za usoni.

Mwisho, wewe ni tofauti kabisa na yule ambaye amefaulu na atabweteka tu akiamini kwa matokeo Kama hayo ameshatoboa.

Kila kheri kijana.
 
Asante mkuu.🙏🏽
 
Habari zenu wana JF,

Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee.

Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha DIT. Kama tujuavyo diploma program inaanza mwezi wa kumi.

Natafuta kazi ambapo nitapata chochote kitu ili nisikae mtaani muda wote huu. Sina mtaji wowote ule ndio maana nategemea mkono wa mtu kunipa tender.

Umri ni miaka 17 na ninaishi Dar es salaam, Msasani.

Natanguliza shukrani.
Hongera sana tena sana mimi mwenyewe nimemaliza form four 2021 nimepata 3.24
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom