The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 464
mhhh degree ya sheria wenyewe wa sheria wapo mtaani wanaabiwa hadi wamalize law school ndo wapewe ajira......rudi shuleni aisee
duh jina lako sasa!
mhhh degree ya sheria wenyewe wa sheria wapo mtaani wanaabiwa hadi wamalize law school ndo wapewe ajira......rudi shuleni aisee
Nendaa chadema kajitolee then watakuajiri kama john mallya
jinalako utata unaleta mambo ya siasa hapa?. utakuwa na matatizo Mbwaaaa
form6,degree,had master sitakiiii kazi
Umemaliza kila kituDegree ya sociology na masters ya D.S( Development Studies) atapata kazi wapu huyu sasa? sio mnaiga iga tu na kukariri misemo watu wanayoisema...!!