Natafuta kazi nina Diploma ya Nursing

yaani kazi zote hizi za nursing unasema hujapata kazi? uko mkoa gani wewe? nenda AGA KHAN,KAIRUKI,HINDU MANDAL,TUMAINI etc huko koe wana uhaba wa manesi.Sikushauri uingie serilkalini kwa sasa kwani utahenya sana.
 
nenda aghakhan nimetoka kumpeleka mtu majuzi anafanya kazi ya kujitolea ikitokea kuna nafasi unawaascha kwa amani huku ukiongeza exp
usisubiri upate kazi wakati hiyo kazi ni nzuri na unaitaji kuwa na experience Mungu aweza yote akusaidie upate kazi nzuri na yenye kukupa amani na kutunza familia ...suiombe kazi ilimradi kazi..kingine jitahdi kwenye maombi mwambie MUNGU akupe kibali cha kazi kuna watu awana hata matokeo mazuri leo wakokwenye malandcruiser sababu ya favour./kibali ni muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu na hata wewe ulie na kazi jitahdi uombe MUNGU AKUPE kibali unaweza kupata kazi nzuri lakini usipojua akuitunza utaishia kusemwa alipita hapa mtu huyu.....Mungu akupe kazi nzuri ..nasema hivi kuna watu wanasali wapate kazi wanakutwa na nafasi nzuri mabosi wanaomba mapenzi..sasa unakuta hapo wazaifu wanazini wakiamaini kutubu baada ya kazi matokeo yake unaambiwa bosi anaumwa wakati ukiwa kazini..so ukiomba kazi omba kazi ambayo Mungu atakusimamia kwenye majaribu na usikubali kuwa mtumwa dhambi kwa ajili ya ajira

Ubarikiwe
 
ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom