Duuuu!!!hizi GPA jamaniKama una GPA ya 3.8 nikupe mchongo , unaweza kupata nafasi ya tutorial assistant, chuo kiko morogoro Halafu deadline ni Leo.
Mimi nimepigiwa pande gpa imenikwamisha
hiyo GPA ni tatizoDuuuu!!!hizi GPA jamani
Yaani mtu kasomea ku design project (mchongo) na kuiendesha halafu a natafuta kazi!Kwani ni lazma uajiriwe kaka?
Unatafuta Kazi au unatafuta Ajira?Hello,
Mimi ni kijana wa miaka 32, sex male,. nina elimu ya chuo kikuu (2013), nimezuguka sana maeneo tofauti kutafuta Ajira, lakin imekua ngumu sana kwakua nimekosa mtu wa kunishika mkono ili twende wote, tafadhali najua humu kuna waungwana na wacha Mungu kama mimi pia, ninaomba msaada wenu nipo tayari kufanya kazi mahali popote.
Pamoja na kazi ya aina yoyote isipokua kazi inayokwenda kinyume na imani yangu. ni kijana mwaminifu, mchapakazi na mwenye upendo kwa watu wote, nimesomea PROJECT PLANNING, MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT, Kutoka chuo kikuu cha UDOM, tafadhali nipigie namba 0752649436, Mungu atakubariki katika kila jambo lako na utafanikiwazaidi.
Lazima awe amesoma planning?Kama una GPA ya 3.8 nikupe mchongo , unaweza kupata nafasi ya tutorial assistant, chuo kiko morogoro Halafu deadline ni Leo.
Mimi nimepigiwa pande gpa imenikwamisha
Nina hiyo gpa naweza kukuchekKama una GPA ya 3.8 nikupe mchongo , unaweza kupata nafasi ya tutorial assistant, chuo kiko morogoro Halafu deadline ni Leo.
Mimi nimepigiwa pande gpa imenikwamisha
Ni kweli CV hajui kuiandika .CV yaweza mkosesha kazi uandishi mbovu sanaKijana jitahidi sana uandike CV vizuri
Nina hiyo gpa naweza kukuchek
Deadline ilishapita wadau.Lazima awe amesoma planning?
Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.Ni kweli CV hajui kuiandika .CV yaweza mkosesha kazi uandishi mbovu sana
Anyway swali kwake kwa nini aliacha kazi serengeti breweries?
kama uko serious unahitaji kumsaidia mtu, utaweka effort yako kwenye kumsaidia, usiingie mtandaoni kujaribu kukejeli nani kafanya nini na nani anapitia nini, do not ask unnecessary questions.Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.