Natafuta kazi nimesoma, BSc. Chemistry

Natafuta kazi nimesoma, BSc. Chemistry

Nenda Chemi&Cotex (----) waliweka tangazo pale Udsm kwa watu wa Chemistry, Chem Eng, uangalie details zao ujaribu kutupia CV yako.... U never know wakakuita... BTW hutakuwa umepoteza chochote.
 
Vipi performance yako ilikuaje..maana si wengine kozi tulizosoma siri yetu na tunatamani hata tuwe na kama yako sema tulikimbia science
 
na wale tunaosoma bsc. mathematics ivi tunawez fanya kaz gan na wap,
 
Anza kufundisha sekondari wakati unatafuta ustaarsbu mwingine
 
Duh! Makoz mengne bhana!
Kuendkeza mikopo ya elimu ya juu matokeo yake ndo hayo.
Anyway soma "Postgraduate ya Education" uingie Ualimu then ufundshe hyo chemistry
(note; km unataka kuajrwa kwa urahc ndan ya gvt)

Acha dharau ww,kwani ungetoa ushauri tu, ungepungukiwa nn
 
Back
Top Bottom