Natafuta kazi nimesoma, BSc. Chemistry

Natafuta kazi nimesoma, BSc. Chemistry

Thadei Mushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
218
Reaction score
66
Help Help Help plz kama kuna mtu anaweza kunipa ata ushauri mifanyeje na hii degree.. Kazi ngumu mtaji sina ningeingia mtaani... Hali si hali wandugu
 
Jaribu kwanza kwenda kwenye shule jirani mtaani kwenu ukaombe kipindi Chemistry hata kwa laki.Then ukishapata onesha unaa madogo wakikubali fungua tuition centre utapata pa kutafutia mtaji

Au

Jaribu kupita maeneo mbali mbali uliyokuwa ukifanyia field na uombe kuvolunteer.Kwenye research institutes nyingi sana wakemia wanaplay part kubwa tu...Wakati ukijitolea ,maintain hardworking,punctuality,effieciency na discpline...Lazima watashawishika kukupa hata part time
 
Wakati unachagua kusoma chemistry ulikuwa na malengo gani? Maana hujui ufanyeje na hiyo chemistry yako!
Ushauri wangu:
1. Kwanza ujue application ya chemistry kwenye jamii. Chemistry inahitajika katika viwanda vyote kwenye kitengo cha quality control kwenye maabara.
Chemistry huhitajika pia kwenye vituo vya utafiti wa kilimo, mifugo na samaki. Kwa hiyo jisogeze/apply maeneo hayo.
2. Lakini kutegemea na umri wako, kama ulisoma pia biology A-level na ukifanikiwa kupata ufadhili soma tena digrii ya pharmacy! Kwako itakuwa kozi rahisi sana na wataku-exempt baadhi ya kozi za chemistry ambazo husomwa pia na wanafunzi wa pharmacy ambazo wewe umeshazisoma tayari.
Ukimaliza kozi yako ya pharmacy utajiajiri mwenyewe na ndani ya miaka miwili utawazidi madaktari walioajiriwa lwa zaidi ya miaka 10!
 
Asante kaka nitafata ushauri wako ila volunteer ndo nakunya saiv
 
Asante kwa ushauri mzur
 
Duh! Makoz mengne bhana!
Kuendkeza mikopo ya elimu ya juu matokeo yake ndo hayo.
Anyway soma "Postgraduate ya Education" uingie Ualimu then ufundshe hyo chemistry
(note; km unataka kuajrwa kwa urahc ndan ya gvt)
 
Help Help Help plz kama kuna mtu anaweza kunipa ata ushauri mifanyeje na hii degree.. Kazi ngumu mtaji sina ningeingia mtaani... Hali si hali wandugu

Karibu mtaan.. mimi nimesoma bsc maths..njoo tufanye colabo.. unaishi wapi
 
Help Help Help plz kama kuna mtu anaweza kunipa ata ushauri mifanyeje na hii degree.. Kazi ngumu mtaji sina ningeingia mtaani... Hali si hali wandugu

Pole mkuu kama sikosei kuna nafasi kama 15 zilitoka tbs mwaka huu uliomba?
 
Duh! Makoz mengne bhana!
Kuendkeza mikopo ya elimu ya juu matokeo yake ndo hayo.
Anyway soma "Postgraduate ya Education" uingie Ualimu then ufundshe hyo chemistry
(note; km unataka kuajrwa kwa urahc ndan ya gvt)

Angetaka ualimu angesoma bsc education with cjemistry
 
Inovate and make your own chemical and products... Soap and detergents, soft drinks and many more..
 
Back
Top Bottom