Natafuta ajira (party-time) kukidhi mahitaji ya chuo

MegamindTz

New Member
Feb 21, 2021
3
45
Habari wakuu,

Mimi mwanafunzi wa chuo cha ufundi Arusha, diploma ya umeme.

Natafuta ajira (party-time) ya kukidhi maitaji ya chuo.

Uzoefu wangu na elimu ni: secondary school; Don bosco technical school (division 2)
Advance school; Tarakea sec school (division 3)
Currently, Arusha Technical college in diploma of electrical engineering

Nimewahi kufanya kazi ya kibarua;
Rhino cement-Tanga (production)
Simba cement-Tanga (shut down)

Katika kazi hizo nimeweza kujifunza kuoperate wheel loader

Soft skills
Team work
Schedule to complete tasks
Uvumilivu wa kazi ngumu
Communication skills
Ubunifu wa kukamilisha kazi kwa wakati
Kujifunza kazi mpya kwa haraka.

Pia nina ujuzi wa:
Computer
English language.

Asanteni sana,
Mapendeleo yangu nikikutana na muajiri, naweza kufanya kazi mbalimbali mbali field ya masomo yangu bila kujali ni hotel, restaurant, kibanda cha chip, store, usafi, delivery, secretary, fundi, kupika ama shughuli yoyote ambayo nitaifanya katika muda ukiacha ule wa masomo.
 

MegamindTz

New Member
Feb 21, 2021
3
45
Computer unajua sehemu zipi

isiwe kuplay music na kuangalia movie tu
Microsoft suite nikiwa na maana io (ie. ms-word, power point, na excel)

na baadhi ya software kama Auto Cad na sketch up pia Dev c++ na codes za Arduino programming lakini sio sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom