Natafuta kazi. Manager au administrator. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi. Manager au administrator.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by aniganili, Jun 18, 2011.

 1. a

  aniganili New Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hallow!
  Habari, naitwa Restuta kayombo ni mwalimu mzoefu wa secondary kwa miaka nane na kuendelea, nina umri wa miaka (34) kwa sasa nina elimu ya degree ya elimu (Bachelor of Education) ninatafuta kazi katika mashirika makubwa yanayofanya kazi za jamii kama vile mashirika yanayojishughulisha na HIV, WANAWAKE, WATOTO WA MTAANI, BANK,MASHIRIKA YANAYOTETEA HAKI, WORLD VISION na mengineyo yanayofanana na hayo katika nafasi za UONGOZI, COUNSELING NA TRAINING kwani nina taaluma ya kutosha kuongoza na pia mimi ni talented in leadership refer to athe Trait getic theory. ninataka kufanya kazi na makampni makubwa kaw sababu ninapenda kwanza kuwahudumia watu na pia ili nipate kipato kikubwa ambacho kitanisaidia mimi na watanzania wasiojiweza kiuchumi kama vile kuwasaidia watoto yatima kuwalipia ada ya secondari japo sitaweza kuwasaidia wote lakini kwa kiwango nitakachoweza kulingana na uwezo wangu nikipata zaidi basi nitafanya zaidi. sisi watoto wa wakulima tunatkiwa tuinuane wenyewe vinginevyo ndo hivyo. Ninapenda haki na ukweli na hiyo ndyo itikadi yangu katika maisha. Mngoni kwa kabila kutoka songea mfaranyaki lakini nafanya kazi na makabila yote ya kiafrika kwani najivunia sana kuitwa MAMA AFRIKA na ngozi yangu adimu na isiyotakikana kwa utandawazi wala mapinduzi ya kisayansi.


  asante na mbarikiwe sana.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kazi zipo ingia kwenye thread za ajira utakuta hapo matangazo mengi sana ya nafasi za kazi
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hongera kwa kuwa na sifa zinazotakiwa kwenye soko la ajira. just dont limit urself kwa post za 'manager' manake inategemea taasisi wanaitaje cheo hicho. inaweza kuwa project coordinator pia, am just saying. haya,kila la kheri dada wa mfaranyaki,bomb hii nyumb hii
   
Loading...